Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Nakazia hapo yaani hapo
Wanajikweza hata mia hawana mwanaume unamdangiaje mwanamke unajua hela yake anaitafuta vipi

Wanaume fanyeni kazi hata ya kubeba zege waache kukopa wanawake na kuwadangia acha kujikweza hata kumi huna
Inaonekana jf mnakutana na mengi aiseee sie wengine tupp tupo humu
 
Hakuna usawa kati ya mwanaume na mwanamke usawa uko sehemu chache tu,nature tayari imeshaselect so haijalishi mnafanya kazi wapi au wapi the issue is no equality at all ndo maana kuna muda mwanamke anaambiwa huyu kama dume vile kama but not!!!
 
Kongore mkuu yamkini wewe ni miongoni mwa wanawake wachache wanao jua huo ukweli mwanaume aliye na mahusiano nawe atakuwa kapata kitu cha thamani sana kama akitambua hilo.
 
Huo ndo ukweli ambao wengi hatutaki kuukubali elimu,cheo au fedha sio kigezo cha equalizer nature!! Mimi ni mwanamke tu regardless anything!!!
 
Yap atleast, kuna wachache wanaojitambua ungekuwa wangu mkuu ningekutafuna kama kuku mteketeke nisingeacha mfupa hata mmoja kwa utamu ulio nao. Kifikra...
Big up.!
 
Hakuna usawa kati ya mwanaume na mwanamke usawa uko sehemu chache tu,nature tayari imeshaselect so haijalishi mnafanya kazi wapi au wapi the issue is no equality at all ndo maana kuna muda mwanamke anaambiwa huyu kama dume vile kama but not!!!
Fat point[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mi mwenyewe natafuta mtu anipe laki 3 hapa..
Kuna kipindi fasheni yenu ya mizinga ilikuwa 'nina shida ya laki 3'......siku hizi naona imewageukia mnakopwa,mnaliwa,mnakimbiwa mnakuja kulialia mitandaoni! Mjini shuleni fungeni miguu na pochi zenu shubaaaamit!
 
Write your reply..wapooo...wanaume midananda wamejaa...janaume zima linajisifu kulelewa na mwanamke...ujinga mtupu
 
hapa mi mgeni bado sijajua naingilia mguu gani!
 
Yap atleast, kuna wachache wanaojitambua ungekuwa wangu mkuu ningekutafuna kama kuku mteketeke nisingeacha mfupa hata mmoja kwa utamu ulio nao. Kifikra...
Big up.!
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Write your reply..wapooo...wanaume midananda wamejaa...janaume zima linajisifu kulelewa na mwanamke...ujinga mtupu
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]safi sanaa!!kumbe wapooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…