mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Inaonekana jf mnakutana na mengi aiseee sie wengine tupp tupo humuNakazia hapo yaani hapo
Wanajikweza hata mia hawana mwanaume unamdangiaje mwanamke unajua hela yake anaitafuta vipi
Wanaume fanyeni kazi hata ya kubeba zege waache kukopa wanawake na kuwadangia acha kujikweza hata kumi huna