Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Umeona eeehh!unajipindaa from nowhere anakutapeli kirahisi rahisi...mtu ukiaminiwa jiaminishe baasii!!unakubali kutoka utu kwa vitu vidogo kabisa...hawana huruma jamani matapeli kaah!halafu ukiwaona huwajui bora teja utamjua!![emoji3][emoji16][emoji16]
 
Hujakutana na wanaume bali wahuni
 
Wengine wanakopa wakabeti...lol hivi watu tunahaha kutafuta hela za mitaji wao wanakopa za kubetia...mayo zaoo...
Si bora hata angekopa akanywe bia tu kuliko kubet. Sasa baada ya kubet akishaliwa ndo anapotea mazima. Watu wangejua tunapata hela kwa shida na sisi wangekua hawakopi halafu wanaturusha. Ila jasho la mtu haliendi bure mama. Mjanja yeye ila Mungu yupo
 
Hapo ndo wanapokosea. Wakiaminiwa wajali basi heshima walopewa.
 
Hili nalo neno vijana wa dar hapa wanapenda kukopa na kutapeli wadada wanashindwa kuuza hata bamia...anakopa akale bata au anakopa akalipe anakodaiwa...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huyo wa humu huyo Mungu anamuona tafadhali apite hapa ujumbe auone na alipe madeni ya watu!!
 
Umeandika kwa hisia. Ila tujifunze pia. Mwanaume hajawahi kukupa hela yake unamkopeshaje? Mimi nakusoma kwanza ndo hela yangu tunabadilishana.Nipe nikupe. Hii mambo ya kucheza pata potea ipo siku utaliwa hela mingi. Sema jamaa mweeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisaaa,..nimeona kumbe laki nayo ni pesa...utawasikia ooh nisaidie kiduka changu kimepitiwa na TRA kimefungwa,.masikini kwa kumuonea huruma asije kufa na njaa akakosa bando ya kuchangia jf unamuazima..kumbeee ni marioo mjini...
 
Hujakutana na wanaume bali wahuni
 
Hujakutana na wanaume bali wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…