Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
kwa hiyo utaanza kunikopesha eeeh?Bora umerudisha hii avatar nilikuwa sikuelewi kabisa na avatar zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo utaanza kunikopesha eeeh?Bora umerudisha hii avatar nilikuwa sikuelewi kabisa na avatar zako
Mzurii bwana weweee...Habari yako Somoe
Magu kabana mama,Na sisi tutaandama mrudie kuwa wanaume kamili. Badala mtupe hela sisi nyie ndo mnatuomba na kututapeli juu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]cha mtu mavi!!bora unile nyapu maana utamu si tunaona wote kuliko hela yanguu!!!Unakula pesa ya mwanamke wa Kiswahili,msikiliza mipasho hakuna rangi utaacha kuona
Hahaa aisee kweli basi kwenye wengi kuna mengi.Khaaaaa huku jf wanafake ukionana nao huwezi amini
Najiuliza kapata kitu gani hadi kufikia hapoMkwe usione aibu wewe...hujakosa najua ulivyo mzungu bwanaa!!
Bush kunauma hakuna netiweki ya kupost picha insta na nyuzi mpya jfPagumu haswaa!!warudi bush kulima tuu!
Kuna kula kwa kupewa. Usimkope mwanamke halafu unabadili na namba. Unataka mtu kama huyo afanywe nini na huku yuko anasoma inavyoonekana?Unakula pesa ya mwanamke wa Kiswahili,msikiliza mipasho hakuna rangi utaacha kuona
Unasemaje?!!jf ni wapi[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]!!pole shogaa..usiamini kila ukionacho bibie..humu wapo hao wenye mindinga na matapeli wapo kibaooo!!tena wengi tuu!!Lakini sio waJf jamani. Huku watu na mindinga yao hawawezi kutapeli kalaki kwa mdada jamani..
Maviiii. Huku maigizo mengi hasa wanaume mama. Hayo mandinga yako JF tu mtaani nehiiLakini sio waJf jamani. Huku watu na mindinga yao hawawezi kutapeli kalaki kwa mdada jamani..
huji kunisemea hapa? nihakikishie usalama wangu kwanza maana wanawake mu jeshi kubwa.
Hihihihihihi jamani me siwezi ugonvi wa mawe nakaa kwenye nyumba ya viooMuulize kapeace[emoji2] [emoji23] [emoji2] [emoji2]
Wa huku wanajua kujituma bhanaa huoni hata wakija huko mjini wanawasuka hadi rasta na yebo yebo..Wa huko sema wanaishi Dar
Khaaaa kulipana tena mkuu ebu kumbuka maneno yako jamaniNipe no basi lokesheni tuachane nayo mkuu. Tutajua tutakavyo lipana.[emoji3] [emoji3]
Ukipigwa Mara moja unakua makini siku nyingine!!Weeeeee. Nilitapeliwa mara moja kwa kujenga imani japo hela zake nilikula ndo maana alivyoleta shida nilimsaidia ba akanipiga ila zaidi ya hapo hakuna jambo la mie kutapeliwa tena.