Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Mwanamke anaweza akala laki yako kwa kumgharamia ila mwanaume ukachili tu ila mwanaume ukila jero tu ya mwanamke atakutangaza mtaa mzma na kwa social networks zote,cjui mkoje lkn....hamjui kama mapenz sio kuhongana bali n kusaidiana mfikie lengo lenu...mnaamin mwanaume hafulii kamwe,mnajua tunafyatua pesa tu yaan
Hapa hatuzungumzii wapenz!!!
 
Back
Top Bottom