Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Sio wote baadhi yao haswaa vijana wengi wadangaji hata humu waweza kua wapo..
Hayajanikuta ila yanawakuta watu,vijana wa siku hizo wadananda...chakla wanapenda slopeee...kama zote!!hawataki kubeba zege wanauramba mkanda chini ajira hakuna sawa umesoma ili uelimike au uwe na elimu?

Komaa maisha hayana mteremko kijana usitake kushindana na watoto wa kike na nyie vijana mwadanga siku hizi... wengi wenu!
Siku hizi wana mbinu mpya atajifanya kakuzoe,ukaribu kama wote ushosti ule ule... Atajifanya akukope hapo kwenye kukopa hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mdada usiingie kingii...ukijaa imekula kwakoo!!harudishi na mwingine anahama line kabisaa... Kwani shilling line 500 usajili bure kashakukula elf50 au laki 2 yako anakuhama mazimaa...anaenda kutapeli kungine..

Kuna wanaume wanatamani wangekua kama sisi kina Dada nao wahongwe...!!maana wanaona tunafaidi sana ila sasa hivi hata wadada tunajituma na kujishughulisha....

Nasema sio wote wapo haswaa vijana ndo wana michezo ya ajabu ajabu ya kitapeli ndo maana wadada siku hizi wanawataka wazee maana hawana usumbufu hawana mambo za ajabu ajabu hawezi kudanga!!

Enyi vijana wenzangu lakini wa kiume fanyeni kazi acheni utapeli,acheni kudanga ulipelekwa shule umemaliza iwe graduated au certificate tumia elimu yako vzr acha kuganga njaa kwa kutapeli wengi siku hizi mnawatapeli wanawake Mimi bwana naogopa sana mazoea na vijana na hata nkikuzoea sitaki vurugu za kuniomba pesa au vocha sitakupa hata km nnayo miye mtoto wa kike asili yangu kuhongwaa...mkubali mkatae hata kama ntafanya kazi kama zote... Zenye pesa nyingi lakini raha nipewe sio Mimi nkupe labda nikupe mtaji wa biashara tujenge familia lakini sio utegeshe kende usubiri mwanamke akuletee[emoji57] [emoji57] rudi jandoni tena...!!

Wakaka mtapeli wanaume wenzenu msitutapeli wanawake jamani wenzenu twahangaika mngejua tunavyohaha na mabeseni ya mbogamboga na ubuyu msingethubutu kututapeli!Mimi ukintapeli kama wewe mwanaume utanipa tu hakuna namna!

Mnafanya wanawake waanze kuwaogopa...nasema hivi mtaani wapo na jf wapo pia maana wa mtaani ndo wa humu jf...hata humu wadada kuweni makini kuna watu humu matapeli kama wote...wako innocent lakini ukiingia king inakula kwako!

NB..Samahani kwa ntakaowakwaza mada hayo ni mawazo yangu Mimi hayahusiani na mtu yoyote!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Yaani hapo kwenye kuhanagaika ndio penyewe...Jamaniii akina Dada tunaamka lukwilii kwenda kupambana na hali zetu tunauza hadi ming'okoo na panya ili tupate rizki...halafu mwanaume unaejiita rijali unapanga kupiga vizinga aseee wanaume dizaini hii mnahitaji rehema mnoo...acheni umarioo fanyeni kazi...utatapeli wangapii??utabadili laini ngapii??utahama location ngapi??mfyuuuu

Siku hizi hakuna rizki kitako,lazima uamke uliache shuka ukapambane,.wanaume wenye tabia hii muache mtakuja pigwa risasi za kichwa kama sio za.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiiii
 
Hasa vijana wa Dar. Hawapendi kazi ila kujikweza sasaaa. Kumbe hela za bata wanakopa wanawake wakawape bata wanawake wengine. Wengine hata line hawahami mama wanakomaa na wewe kama vile hawaoni unavyodai.

Sema kukopa kuna mmoja achkia ko humu anakopa na harudishi
 
Umeandika kwa hisia. Ila tujifunze pia. Mwanaume hajawahi kukupa hela yake unamkopeshaje? Mimi nakusoma kwanza ndo hela yangu tunabadilishana.Nipe nikupe. Hii mambo ya kucheza pata potea ipo siku utaliwa hela mingi. Sema jamaa mweeeee
 
Hasa vijana wa Dar. Hawapendi kazi ila kujikweza sasaaa. Kumbe hela za bata wanakopa wanawake wakawape bata wanawake wengine. Wengine hata line hawahami mama wanakomaa na wewe kama vile hawaoni unavyodai.

Sema kukopa kuna mmoja achkia ko humu anakopa na harudishi
Wengine wanakopa wakabeti...lol hivi watu tunahaha kutafuta hela za mitaji wao wanakopa za kubetia...mayo zaoo...
 
Back
Top Bottom