Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Mamaaaaaeeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakojoaaaaaa unaweza ukajua umepata G wako kama Mama Sabrina kumbe G unafanywa wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo sasa shida hazikauki..samahani sana kaka sina kipaji cha kuhonga mwanaume...
 
Yaani hapo kwenye kuhanagaika ndio penyewe...Jamaniii akina Dada tunaamka lukwilii kwenda kupambana na hali zetu tunauza hadi ming'okoo na panya ili tupate rizki...halafu mwanaume unaejiita rijali unapanga kupiga vizinga aseee wanaume dizaini hii mnahitaji rehema mnoo...acheni umarioo fanyeni kazi...utatapeli wangapii??utabadili laini ngapii??utahama location ngapi??mfyuuuu

Siku hizi hakuna rizki kitako,lazima uamke uliache shuka ukapambane,.wanaume wenye tabia hii muache mtakuja pigwa risasi za kichwa kama sio za.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiiii
[emoji16] [emoji16] [emoji16] siamini kama wajibidiisha,

Vipi sadaka za waumini ?
 
Hasa vijana wa Dar. Hawapendi kazi ila kujikweza sasaaa. Kumbe hela za bata wanakopa wanawake wakawape bata wanawake wengine. Wengine hata line hawahami mama wanakomaa na wewe kama vile hawaoni unavyodai.

Sema kukopa kuna mmoja achkia ko humu anakopa na harudishi
[emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom