Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Mnapenda kutukosoa wanaume kutotoa pesa au kuwaonga lakini tunapofanya hivyo mnalinga kutuheshimu na kutoa mchezo mnazuga na tarehe zenu , pesa atoe alafu asumbuliwe nafasi ya mwanaume ingekua inaheshimika wasingefanya hivyo
 
Wenyewe mna viherehere kutupa ela tusiwaache
 
Si bora hata angekopa akanywe bia tu kuliko kubet. Sasa baada ya kubet akishaliwa ndo anapotea mazima. Watu wangejua tunapata hela kwa shida na sisi wangekua hawakopi halafu wanaturusha. Ila jasho la mtu haliendi bure mama. Mjanja yeye ila Mungu yupo
Mzigua hebu niazime hela kidogo, kama 50,000 tu hivi, nitakurushia, mimi siendi kubeti nina shida, mumu mi nitakurudishia, sinaga usumbufu kulipa deni..
 
Hapo kwa wazee hapoooo ina mana kwa wazee ndo mnapambana hapo au sema wazee wanapenda kuhonga mana hela zipo tu pension ila mjue ni dhambi kula pensio ya mzee wa watu
 
KUHONGWA ni jina tu limetafutwa ili kuficha malipo yanayofanywa ili mtu apate PAPUCHI (kununua pusi)....nikimaanisha mtu haezi kukuhonga kama humpi mzigo na akihonga ikatokea hajapata mzigo anahesabu kama ametapeliwa...
Sawa!!
 
Mimi kama dark angel naomba huyo Mario asiye na adabu awepo huku halafu atajwee.
Ni I'd tuu lakini nitachamba kama naaga mashindano ya kuchamba vile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hao ni kama yule jamaa wa jf anaitwa sijui jenticimaini.


Huyu jamaa ni shiidaa, Mara mnyarwanda, Mara mzanaki, Mara amefika south afrika, Mara afrika mashariki, Mara Tanzania,


Wadada wakisikia hivyo wanaingia kingi fasta.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom