Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NITAKUWA WA MWISHO KUAMINI MTU MWENYE UWEZO WA KUWA NA GARI ANASHINDWA VIPI KUWA NA PESA YA KWENDA LODGE
Kwa utamaduni wa waafrika, na hasa Wasukuma, leo ndio haswa siku ya kulala naye wakifarijiana!
Sent using Jamii Forums mobile app
kurinda
malijari,
kaputura
buxer
KURINDANA
Acha kelele nyingi wakati hata avatar umeweka ya mwanaume mwenzio.
Hujasoma kutoka 22:18, inasema hivi
"Usimwache mwanamke mchawi aishi"
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitema kuni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tunalipa miaka yote mkuu
Takashi mshenzi sana
Kwa hatua za awali sijaelewa kitu, pengine hajakusudiwa kusomwa na watu wa ufahamu wangu, na kama ni fasihi nafikir ni zaidi ya stori za kusadikiaka na kufikirika za shaban robert
Nadhani ndo swala la Msingi kazi ifanyike
ahahahaa lugha gongana apa
Haya mambo ya kujidai una roho nzuri kuna muda yanaponza sana, Mungu endelea kunipa hii hii roho.
Bodaboda pumzika kwa Amani.
Mbao za Mawe na fundi bishoo comment zenu ni burudani tosha.
hahahahahaaaaaa haya maneno huwa munayatolea wapi?
wataalamu sio wataaram, makosa haya yanakuonesha mtu huyo wa level ipi
Khaa
Halafu atakuja kusema amesoma UDSM
Okay. Asa siuwe una proof read!Sinywi hata kijiko halafuu