Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

Wanaume wa sasa hivi wengi mitihani mitupu...!!

NITAKUWA WA MWISHO KUAMINI MTU MWENYE UWEZO WA KUWA NA GARI ANASHINDWA VIPI KUWA NA PESA YA KWENDA LODGE
Kilaza kwa kilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa utamaduni wa waafrika, na hasa Wasukuma, leo ndio haswa siku ya kulala naye wakifarijiana!

Sent using Jamii Forums mobile app
malijari,
KURINDANA
Acha kelele nyingi wakati hata avatar umeweka ya mwanaume mwenzio.
Hujasoma kutoka 22:18, inasema hivi
"Usimwache mwanamke mchawi aishi"

Sent using Jamii Forums mobile app
Alitema kuni


Sent from my iPhone using JamiiForums
Tunalipa miaka yote mkuu
Takashi mshenzi sana
Kwa hatua za awali sijaelewa kitu, pengine hajakusudiwa kusomwa na watu wa ufahamu wangu, na kama ni fasihi nafikir ni zaidi ya stori za kusadikiaka na kufikirika za shaban robert
Nadhani ndo swala la Msingi kazi ifanyike
ahahahaa lugha gongana apa
Haya mambo ya kujidai una roho nzuri kuna muda yanaponza sana, Mungu endelea kunipa hii hii roho.

Bodaboda pumzika kwa Amani.
Mbao za Mawe na fundi bishoo comment zenu ni burudani tosha.
hahahahahaaaaaa haya maneno huwa munayatolea wapi?
wataalamu sio wataaram, makosa haya yanakuonesha mtu huyo wa level ipi
Halafu atakuja kusema amesoma UDSM
 
siku hizi wainjiristi au wamishenari wanatoka Afrika kwenda ulaya tofauti na karne ya 19
 
Nikweli dad kuna wanaume wananakera jambo mm piah mwanaume,ila kiukweli weng wetu tunakera,unkuta mtu anakuambia mtafutie kaz ukimpatia anaanza kuuliza kaz gani hyo mar akuambie akuchagulie kaz anazozitaka wakat ana ata elimu wal chochote anaishia utapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitetei mtu: but ukikopa we mwanaume uwe mwanamke LAZIMA ulipe. Sio kisa mwanaume amemkopa mwanamke basi asipomlipa ni FATAL kuzidi mwanamke asipomlipa mwanaume aliyemkopesha. Its that simple. By the way what I understand is Equal rights, equal responsibilities and liabilities,uwe mwanaume uwe mwanamke so kama mwanaume anaeza akakopwa na akatapeliwa na mwanamke the the same can apply viceversa.
 
Back
Top Bottom