Wanaume wa siku hizi hamjiamini


Nitakujibu baadae hii
 
Naomba upige na muhuli kabisa kutokana na nyuzi hizi ngumu mnazozitoa apa mimi kuoa itakua changamoto nyingine mpya😆
 
Naomba upige na muhuli kabisa kutokana na nyuzi hizi ngumu mnazozitoa apa mimi kuoa itakua changamoto nyingine mpya[emoji38]

Achana na hizo nyuzi mkuu… Kuna watu hapa ni maagent wa satan kazi yao ni kutunga uongo na kuwaamninisha wenzao ili watuone sisi ni waajabu….. Asili ya mwanamke ni ile ile ila tabia ni kila mtu ana yake
 


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 

Utuache, nenda kwenye mitandao ya Wazungu, utatuelewaje na wewe una Phantasy zako za kuwa Mama wa Mzungu?
 
Tunanwnwona mnavyofukuliwa, siyo kuhisi.

Na wengine mmekuja humu kuomba ushauri namna ya kuhuisha mapenzi baada waume zenu kugundua mmeliwa kazini, mkachelewa kurejea kwenu.

Manesi mnafake zamu za usiku kazini ili mkalale na michepuko. Tunawaona. Shetani anawaumbua. Mtoto analia usiku, baba na housegirl wanakufuata kazini. Wanajibiwa hayuko zamu leo.

Mnapewa trip ili tu boss apate nafasi ya kukumega. Tunawaona.

Mnapata posho za kazini bila sababu, tunawaona. Mnakuja na mapato makubwa kuliko vyeo vyenu, mnajengewa nyumba kwa siri, mnatushawishi tukapange, kumbe nyumba zenu, tunawaona.

Mnapanda vyeo kazini bila utaratibu, tunawaona.

Kwa ujumla mmeshindikana.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Sababu hujamkuta bikra na hujui wamepita wangapi. Kwani hao wote wabond na mwanamke kiroho, ndio maana hata wazee wa zamani wana msemo wao "hawala hana talaka, ukimtaka unampata".

Hamna watu wanao ongoza kuvunja ndoa au mahusiano kama ma-ex.
 
Kutojiamini kwa baadhi yetu kunatokana na Ukweli wake zetu wa Ndoa wametucheat! na mrudisha Imani anatakiwa kuwa Mwanamke Mwenyewe ili Mwanaume aridhike kuwa kitendo alichoonyesha Mwanamke cha USALITI hakitarudia, lkn unakuta hawana dalili za kuonyesha kujutia makosa yao!
 
Kweli kabisa
 
Na mwanamke asiye na amani akaponee wapi?
Mtazoea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…