Wanaume wa siku hizi hamjiamini

Wanaume wa siku hizi hamjiamini

Sijakosea ndio nilichomaanishaa

Wanaume wa nyakati hizi hamjiamini muda wote munawaza usaliti usaliti usaliti usaliti

Kila nyuzi humu ni kuhusu usaliti

Hivi inakuaje unamuwazia mwenzio kukusaliti…

Nyuzi za kuchapiwa tu za kuhisi mara ooh mliooa wanawake wafanyakazi wanaliwa na maboss [emoji3]
Mara kama umemuacha houseboy nyumbani ujue anakula mkeo

Hiyo mindset yenu inawaza usaliti tu…hayo mazingira minayoyatengeneza kwenye ufahamu wenu shetani anawachora mwisho wa siku mdomo uumba…

Kama wewe ulishachetiwa na mkeo kazini kwao usiconclude wanawake wote huliwa maofisini mwao

Hii picha munayoitengenezaa munawaogopesha na wenginee ambao mapenzi yao yapo moto moto

Nawasilisha[emoji23]
Acheni umalaya
 
Mimi ninachoogopa ni magonjwa tu ila kama anaplay safe na sijajua chochote fresh me sichungi mtu mzima aseee sasa siku hizi mtu hata kama ametulia zake watu tunalazimisha kumwazia ubaya 😂😂

Mtu ukiwaza muda wote unachapiwa hakuna kitu utafanya mradi hiyo sio sabuni itaisha we ukifika endelea walipoishia wengine!!
Hiyo ni mali ya mtu kama ilivyo macho na maskio usimpangie matumizi
 
Wewe ni shoga?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Duh! humu Kuna mda usipokua makini utapanick vbya sana aiseee, anyway mtu akisema kataa ndoa ana namna anaona yy labda hataki mshike mshike na changamoto za kwenye ndoa, labda anaona sheria za kwenye ndoa sio rafiki, labda kaona mabinti wengi siku hz sio wife material, labda financial status yake ni changamoto n.k usi-conclude pasiko muhusika kuelezea sababu zake
 
Sijakosea ndio nilichomaanishaa

Wanaume wa nyakati hizi hamjiamini muda wote munawaza usaliti usaliti usaliti usaliti

Kila nyuzi humu ni kuhusu usaliti

Hivi inakuaje unamuwazia mwenzio kukusaliti…

Nyuzi za kuchapiwa tu za kuhisi mara ooh mliooa wanawake wafanyakazi wanaliwa na maboss [emoji3]
Mara kama umemuacha houseboy nyumbani ujue anakula mkeo

Hiyo mindset yenu inawaza usaliti tu…hayo mazingira minayoyatengeneza kwenye ufahamu wenu shetani anawachora mwisho wa siku mdomo uumba…

Kama wewe ulishachetiwa na mkeo kazini kwao usiconclude wanawake wote huliwa maofisini mwao

Hii picha munayoitengenezaa munawaogopesha na wenginee ambao mapenzi yao yapo moto moto

Nawasilisha[emoji23]
pesa, pesa, pesa, uchumi imara, uchumi imara, imekuwa ni fimbo ya kumnyanyasa kisaikorojia mwanaume "before you fall in love make sure you have money" by yerico nyerere 2023/09/24
 
Duh! humu Kuna mda usipokua makini utapanick vbya sana aiseee, anyway mtu akisema kataa ndoa ana namna anaona yy labda hataki mshike mshike na changamoto za kwenye ndoa, labda anaona sheria za kwenye ndoa sio rafiki, labda kaona mabinti wengi siku hz sio wife material, labda financial status yake ni changamoto n.k usi-conclude pasiko muhusika kuelezea sababu zake
Sawa, I'm sorry.

Financial status sidhani kama ni shida. Labda tabia za mabinti.

Mwanamke mwenye akili, mnaweza kulala njaa majirani wasijue.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Sawa, I'm sorry.

Financial status sidhani kama ni shida. Labda tabia za mabinti.

Mwanamke mwenye akili, mnaweza kulala njaa majirani wasijue.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Huku kwetu Tz wapo ila ni nadra kuwapata Sasa ya nn nijitese! Nyakati zimebadilika unaweza ukaishi vzr sana na Kwa amani bila kua na ndoa
 
Maofisini tunawaona katika Wanawake 10 waliopo Ofisini asie Lisa labda ni 1 na Huyo mmoja unakuta ni mlemavu.
Wanawake wafanyakazi wakienda field huliwa vibaya sana,asipoliwa na mfanyakazi mwenzake basi huliwa na x wake katika Mkoa anakokwenda.
 
Tatizo wanawake wengi tamaa ya Mali na fedha 99%,hawalidhiki na walivyonavyo mwisho wasiku wanabaki kuwa wahanga either kwa kuuwawa na wapenzi/wame zao au kuachwa.

Wanawake punguzeni tamaa za mali,ishini kulingana na uwezo wenu.Kama mnataka fedha zaidi haingaikeni na nyie mtafute kihalali-acheni vitonga.
 
Ukweli ni kwamba mwanamke asiyesaliti ni mmoja Kati ya wanawake kumi,
Mkuu umekosea kidogo takwimu. Mwanamke asiyesaliti ni mmoja kati ya elfu moja.

Maofisini, masokini, ufukweni, maharusini, kwenye vikoba, misibani, women gallas (e.g superwomen Galla), n.k kote huko wake za watu wanachapwa.
 
Back
Top Bottom