Wanaume wa siku hizi hawawezi kuongea

Can u mind ur own business?
 
🙂 Ukiona mwanaume kakaa na mwanamke seat za karibu alafu anamkaushia huyo mwanamke kwenye safari ndefu, ujue huyo mwanaume anakitambaa cha kufutia jasho na kikaratasi cha ticket yake tu mfukoni...


Cc: mahondaw
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
ndo ulikuwa umetoka kupewa buku 8700 dar na @magalah Jr nn..
 
Kama umejipaka ma Lipstick ya rangi tofauti na minywele ya bandia akusemeshe nani?
 
Stories tu
Hua mnatabia mbaya kweli na mmeshawafundisha paka wadogo zenu. Niliwahi kusafiri na kamwanafunzi 15-16yrs kwa vile mimi ni mtu ninaejielewa na mwenye busara ikabidi niwe responsible kukasaidia kakipata shida. Aisee kumbe kaliona tabia yangu ni udhaifu mwisho wa safari kakaanza kunililia eti kamepoteza pesa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Matukio kama haya yamenifanya nisicheke na nyani[emoji23][emoji23][emoji23]

kama kuna mambo ya maana tutaongea otherwise ni buyu tu. Kama vipi uwe unasafiri na comedian[emoji1][emoji1] mlipie nauli awe anakuburudisha safarini.
 
Zaidi tunakwepa Matumizi yasiyokua ya lazima maana ukifanya mazoea na stories tu gharama za safari zitaongezeka tofauti na ulivyopanga awali so ucjali Dada wengine tunalinda mifuko yetu tu.
 
ni ka kike?
 
T
Tatizo ni mizinga. Hamchelewi kufunguka na kuomba hili na lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…