Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulimpa??Yeah kakike.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]ni ka kike?
Nilikapa nauli ya pikipiki kafike kwao kwa vile ilikua usiku, ningekua mchana nisinge fikiria mara mbili.ulimpa??
Acha ubahiri,hata maji ya mia tano yatakakukosa ili mpige stories mpaka mwisho wa safariZaidi tunakwepa Matumizi yasiyokua ya lazima maana ukifanya mazoea na stories tu gharama za safari zitaongezeka tofauti na ulivyopanga awali so ucjali Dada wengine tunalinda mifuko yetu tu.
Tatizo hamchelewi kuanza kuomba hela! Sijui leo siku yangu ya kuzaliwa! Natamani kuku, sina hela ya tax ninakoenda ni mbali hakuna wa kunipokea, n.k. Shida zote za nini? Bora nijikalie kimya!Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa na pale hadi mwisho wa safari,muda mwingine safari inaishia na matumaini mapya ya mahusiano,yaani unaingia nyumbani unafarijika na zile stories za mkaka yule na cha ajabu ndo mara ya kwanza kukutana ndani ya hilo basi
Siku hizi unaingia ndani ya basi, unabahatika unakaa na mkaka sit moja,safari inaanza,kituo cha kwanza,hamna kitu,cha pili,hamna kitu,cha tatu unajifanya kumuulizia sehemu fulani basi linafikapo SAA ngapi,anajibu tu bado SAA moja
Halafu anarudisha earphone masikioni,anacheza games
Mnakuwa mabubu mpaka mwisho wa safari
Huwa hamtutendei haki kwa kweli
Mkiwa kwenye usafiri hasa mrefu msijifanye bize sana,huwa tunapenda tupige story mbili tatu
Ubize wetu kwenye mabasi huwa ni kupretend tu ,anza mazungumzo uone kama hutajibiwa
Acha ubahiri basi
Khaa! ubahili au matumizi sahihi ya fedha?Acha ubahiri basi
Tatizo we sio pisi kali [emoji1787]Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa na pale hadi mwisho wa safari,muda mwingine safari inaishia na matumaini mapya ya mahusiano,yaani unaingia nyumbani unafarijika na zile stories za mkaka yule na cha ajabu ndo mara ya kwanza kukutana ndani ya hilo basi
Siku hizi unaingia ndani ya basi, unabahatika unakaa na mkaka sit moja,safari inaanza,kituo cha kwanza,hamna kitu,cha pili,hamna kitu,cha tatu unajifanya kumuulizia sehemu fulani basi linafikapo SAA ngapi,anajibu tu bado SAA moja
Halafu anarudisha earphone masikioni,anacheza games
Mnakuwa mabubu mpaka mwisho wa safari
Huwa hamtutendei haki kwa kweli
Mkiwa kwenye usafiri hasa mrefu msijifanye bize sana,huwa tunapenda tupige story mbili tatu
Ubize wetu kwenye mabasi huwa ni kupretend tu ,anza mazungumzo uone kama hutajibiwa
Niliwahi safir na mdada from dm to mwanza yule dada ni mwanachuo SAut ila kashamaliza nahis maana ni muda tangu 2015, mi si muongeaji sana kama nitakutan na bubu mwenzangu labda niwe nimeshatia mavituz,kama kawaida kanuni ya kuanza maongezi ni salamu tu nikamsalimia ile morning pre-safari nilimuona huyu bila kumchangamkia tutafika mwanza hatujaongea hata maneno kumi maana muda mwing namuona anachati mara wasap mara sms mara insta ila sikubahatika kumuona akiingia jf nahis alikua mshamba haijui,
nikamchangamkia nikamletea story nying yani story inazaa story mpka tukazoena,nikawa namchomekea maneno nikamuona hana maneno,akawa na usingiz safari imenza kumchosha nikachukua shuka langu la kimasai nikamtandikia corridon ya basi akalala maana alikua anahitaj kujinyoosha
Watu nahis walijua kama tunajuana kumbe no akawa ameachana na simu katia kwenye mkoba tukazidsha story ,nilikua na begi flan portable nimelipakata akalalia pale, niliwaza nimletee pigo za mapenzi zaid nikakumbuka nina wangu nikakausha
Ni kwelicutelove, Tatzo tukianzishanga story na nyie mnajikuta sana
You know nyingi na ss tunaona tukaushe tuu