Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Hiiii, huu uzi joanah ameuona mana nimekumbuka ile uzi wa kushobokea mtu kwenye gari na issue ya head phone.
Binafsi sipendi kabisa kuanzishiwa stori nikiwa safarini...kama ni swali ambalo kimsingi lazima aniulize ni sawa,sio zile unakaa na mkaka anaanza kuhoji unakoenda unaenda kufanya nini?sidhani kama huwa inahusu
Japo sometimes ukikutana na anayeongea mambo ya msingi huwa inachangamsha safari na kuifanya iwe fupi