Wanaume wa siku hizi hawawezi kuongea

Siyo kwenye gari tu mazungumzo yote yamekufa siku hizi kutokana na smartphone hata majumbani ni hivyo hivyo kama siyo simu ni tv, mpira na tamhiliya.
 
Zaidi tunakwepa Matumizi yasiyokua ya lazima maana ukifanya mazoea na stories tu gharama za safari zitaongezeka tofauti na ulivyopanga awali so ucjali Dada wengine tunalinda mifuko yetu tu.
Acha ubahiri,hata maji ya mia tano yatakakukosa ili mpige stories mpaka mwisho wa safari
 
Tatizo hamchelewi kuanza kuomba hela! Sijui leo siku yangu ya kuzaliwa! Natamani kuku, sina hela ya tax ninakoenda ni mbali hakuna wa kunipokea, n.k. Shida zote za nini? Bora nijikalie kimya!
 
Tatizo we sio pisi kali [emoji1787]
 
Unataka msosi wa njiani na hela ya gesti au taxi nikulipie?!

Mimi kama eg tunatoka Dar-Mwanza, nikikaribia misungwi ndo naanza kukuomba namba.
 
Kujichosha tu
 
I prefer staying with my fellow gents, tupige story conscious kuliko kukaa na ke, , my last safari nilikaa na bro mmoja very smart, open-minded, safari ilikuwa nzuri, we shared our world experience,, ilikuwa interesting
 
Toka zamani mpaka leo bado hujazeeka tuu? labda kama unafuatilia wengine na ukitaka kuona hayo unayosema mwambie akupe simu yake!!
 
Wanaume sio kama maembe tuko tofauti, wengne kama mpoki wengne kma mc pilipili, wengne wana heshimu personal space ya mtu hawana maneno mengi.

Most intelligent men huwa hawaongei sana unless apate mtu anae vibe nae interests hapo tutakesha.
 
Hiiii, huu uzi joanah ameuona mana nimekumbuka ile uzi wa kushobokea mtu kwenye gari na issue ya head phone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…