Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

Kwa walio wengi wanalitafsiri kama tatizo
Wengine wanasema ukishindwa kusimamisha mkuyenge baada ya bao la kwanza nalo ni tatizo baya zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimuhukumu mwanaume kwa kutoku performance vizuri Mara ya kwanza, ya pili na ya tatu.
Mpe muda Kisha utoe conclusion.
Sio mechi moja ndio useme moja kwa moja hajui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa walio wengi wanalitafsiri kama tatizo
Wengine wanasema ukishindwa kusimamisha mkuyenge baada ya bao la kwanza nalo ni tatizo baya zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unahitaji kuwa na mwanamke mwenye werevu wa hali ya juu kukuelewa kuhusu hili and amini kwamba kuna watu wengi wanadhani wana matatizo ya nguvu za kiume while they fine na huko kuamininshwa wana matatizo they dwell in stress which creates a problem now...ukijielewa na ukaweza ku analyse you stay in a safe side....huyu hata science haielewi basi akasome sympathetic na parasympathetic ataelw hapa baada ya mshindo mwili unakuja kwenye resting phase amby ni parasympathetic state na ndo maan mkuyenge unapumua for a while before kwenda tena lakin ukiwa na mwanamke wa namna hii ndo utaambiwa umeishiwa power uanze kupiga vumbi and finally you end up na magonjwa mengine

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Kwa walio wengi wanalitafsiri kama tatizo
Wengine wanasema ukishindwa kusimamisha mkuyenge baada ya bao la kwanza nalo ni tatizo baya zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuyenge takes half an hour to one hour baada ya mshindo to come up and this is still normal ila kwa wadada wa buza unaonekana mjinga tu lakini fact nyingine ni hizi pono zinaharibu sana mwanadada akitazama jamaa anapiga masaa 3 bila eja anaona yes this is a man kumbe the man is under the controll ya madawa...huyu mwanamke anahitaji shule t

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Imeandikwa asiyefanya kazi na asile, na walioandika hivyo walikusudia mwanadamu ke na me...

Wanawake hebu fanyeni kazi halali mpate kipato chenu binafsi...

Habari za kulia lia kuwa wanaume wamepunguza au wameacha kuwahonga ni wendawazimu...

Huwezi ukaanza tu kupanga matumizi ya hela isiyo mfukoni mwako sababu tu una uke, matiti na makalio...

Wosia kwa mtu yoyote aliye na mtoto wa kike, hebu tunzeni mabinti zenu mkiwafunza kujitegemea...

Note: Hakuna mwanaume anayependa kukosa nguvu za kiume, ni ulemavu kama ulivyo tu ulemavu mwingine wowote wa viungo
 
Una chura wewe? unatujumuisha na wanaume wa Dar?? Nimeumia sana
 
ayo yotee sawa tu.. cha msingi hako kajamaa kalikudinya tu.. hakana pesa, hakajakufikisha kenyewe kanaendelea kwa mwingne tena.. pesa mtu ukose na papuchi pia kisa tu kudinywa show mbovu!??.. icho kitu hakuna..
 
Mapenzi ni biashara, ukiona mwanaume anakutongoza, ujue anatafuta mwekezaji wagawane share, akigundua huna cha ku-offer zaidi ya sex, unamkatisha tamaa. Na siku sio nyingi atatafuta mwingine, ukitongozwa jitahidi kama utakubali basi jiandae kutoa mchango wa hali na mali ili biashara yenu ya mapenzi izidi kushamiri.
Kwako mwekezaji mwenza.
 
Mkuuu .wanawake wasasa huwawezi... Kuna wamama kamahadija kopa wanatafuta wanaume wakuwaoa... Jaribu huko
 
Mkuuu .wanawake wasasa huwawezi... Kuna wamama kamahadija kopa wanatafuta wanaume wakuwaoa... Jaribu huko
Ndy hao wenye sifa hizo nilizotaja,,unapaswa uwe na roho ngumu sana mkuu,,
Mimi siwawezi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…