GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,572
- 1,781
Kuna kitu kinakuja akilini lakini nakizuia Ila mwisho was siku ngoja nikiseme. Ila hii ni kwa mtazamo wangu.
Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika Kama mtoa mada hapo juu lakini wanasahau kuwa hapo zamani yawezekana mama zetu nao walikukutana na adha kama hizo lakini kwa kuwa walifudwa kwa Mila nadesturi za kiafrika hawakusema isipokuwa ke &me wa leo kitu kidogo matangazo mtaa mzima.