Wanaume wa siku hizi ni vitukoo

wee utakuwa msomii sanaa ama unafikiriaga sana kabla ya kutenda, = you are a big problem
 
Acheni kulia lia tafuteni tiba enyi viumbe msiojiamini
 
Msimuhukumu mwanaume kwa kutoku performance vizuri Mara ya kwanza, ya pili na ya tatu.
Mpe muda Kisha utoe conclusion.
Sio mechi moja ndio useme moja kwa moja hajui.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ndugu tafuta tibaa

Wanaume wenzenu kutoka Nigeria huko ghana hata wakisikia harufu tu ya marashi ya kike tayari wanakua active poleni sana tafuteni tibaa bila kusahau pesaa
 
Pole ndugu tafuta tibaa

Wanaume wenzenu kutoka Nigeria huko ghana hata wakisikia harufu tu ya marashi ya kike tayari wanakua active poleni sana tafuteni tibaa bila kusahau pesaa
Kumbe mkuu una uzoefu hadi kuvuka mipaka ya inchi,,
Hongera mkuu kwa shughuli yako
 
Pole ndugu tafuta tibaa

Wanaume wenzenu kutoka Nigeria huko ghana hata wakisikia harufu tu ya marashi ya kike tayari wanakua active poleni sana tafuteni tibaa bila kusahau pesaa
Asante kwa pole yako, ila mwenzako sipo huko ni ushauri tu.
Lakini jua tatizo ni wewe sio mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole ndugu tafuta tibaa

Wanaume wenzenu kutoka Nigeria huko ghana hata wakisikia harufu tu ya marashi ya kike tayari wanakua active poleni sana tafuteni tibaa bila kusahau pesaa
Wwe kweli umesha Kubuhuu,kumbe umesha maliza hadi Wapopoo!? Kweli wwe noma lazima utakua Baharia wa Kike!!
 
Kwa hiyo unashauri nini Shangazi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…