Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Ni kweli! Vijana wengi wa siku hizi ni waoga. Siku hizi wametuiga wanawake kuonyesha kwa vitendo kuwa nakupenda lakini jiongeze mwenyewe mimi sikuambii.Umri wako plz, ili tuweze kujua kama kweli una uzoefu wa generations zote. Za zamani na sasa.
Acha uongo, zamani walikuwa wanawatumia wazee ila sisi tunamface kabisaNi waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao
Tofauti na zamani.angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo.upo dar unaelezea hisia zako Kwa Binti yupo iringa au hata marekani.lakini zamani unamface mpaka kieleweke.
Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana Tena.
Ishukuruni technology.
Sio wote mdogo wangu Miss ChampagneNi waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao
Tofauti na zamani.angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo.upo dar unaelezea hisia zako Kwa Binti yupo iringa au hata marekani.lakini zamani unamface mpaka kieleweke.
Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana Tena.
Ishukuruni technology.
Nafikiri id mpya imekutisha huyu ni memba tena rafiki yako๐Umri wako plz, ili tuweze kujua kama kweli una uzoefu wa generations zote. Za zamani na sasa.
Ni nani huyu? Nisije zama pm kumbe tayari nipo nae kwenye mahusiano ๐Nafikiri id mpya imekutisha huyu ni memba tena rafiki yako๐
Labda unazungumzia wa hapo mtaani kwenu. Ila generation yangu ilishavurugwa, haina uoga na mbususu kabisaNi kweli! Vijana wengi wa siku hizi ni waoga
Siku hizi wametuiga wanawake kuonyesha kwa vitendo kua nakupenda lakini jiongeze mwenyewe mimi sikuambii
Wanajipitishapitisha, kucheka hovyo, kutuma msg kila mara
Unaeleza hisia zako baada ya masaa machache,mtu anakuwa anadaiwa kodi,kioo cha simu kimevunjika anataka simu mpya,Anaumwa,anasikia njaa,viatu vyake vimeharibika, kila siku hana bundle.Hapo bado hajakuambia pesha zake za vikoba na mchezo ambao ana majina matatu, ndio maana sometimes tunakulaga buyu ili kuepusha stress husizo plan.Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao
Tofauti na zamani.angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo.upo dar unaelezea hisia zako Kwa Binti yupo iringa au hata marekani.lakini zamani unamface mpaka kieleweke.
Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana Tena.
Ishukuruni technology.
Huyu ni dada yetu muache mkuu๐๐Ni nani huyu? Nisije zama pm kumbe tayari nipo nae kwenye mahusiano ๐
Labda kama una miaka 50 ila chini ya hapo ndo walewaleLabda unazungumzia wa hapo mtaani kwenu. Ila generation yangu ilishavurugwa, haina uoga na mbususu kabisa
Naomba kumjuaHuyu ni dada yetu muache mkuu๐๐
๐ ๐ ๐ Au sioLabda kama una miaka 50 ila chini ya hapo ndo walewale
Unatuyukana aiseeLabda kama una miaka 50 ila chini ya hapo ndo walewale
We jilipue tuu mzeee. Hamna mbaya hapo.Ni nani huyu? Nisije zama pm kumbe tayari nipo nae kwenye mahusiano ๐