Thats my bro Kloro, yaani watu wamenishangaza sana hapa........Hili povu lote la nini, kama kweli au sio kweli sio ishu sana. Acheni kumpa airtime hapa JF hiyo anayopata clouds inamtosha sana.