Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

Dah! inawezekana yupo right manake nimejaribu kunusa boxer yangu hapa inatema mbaya na imenitibua sinus ndani ya dakika 4.
Acha niwahi JF dokta
Thats my bro Kloro, yaani watu wamenishangaza sana hapa........Hili povu lote la nini, kama kweli au sio kweli sio ishu sana. Acheni kumpa airtime hapa JF hiyo anayopata clouds inamtosha sana.
 
MiJF memba ndivyo ilivyo
 
Back
Top Bottom