Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

mia nawasahangaa mnambishia.....diva she is right sana tena sana....

huyu demu kazini na wanaume kadhaa hapa town na wote kwa mujibu wake alikuwa wananuka kama alivyosema......sema sasa nae sas aatafute wanaume wasionuka boksa.....
 
aweke kidole kwenye lijizipu lake halafu anuse atatoa jibu. Yeye mwenyewe uozo mtupu halafu kinachonga!
 
Hata kama wapo..mim huyu dad simkubal hata..at first nilijuaga bonge la pini kumbe ni sauti tu..yey mwenyew hamna k2
 
pacha Nicas Mtei huyu mtu nahisi ana stress za maisha...yaani ni copy-ryt na huyu diva!wenzio wakifanya utani wewe unakomaa unadhani ni kweli...

au stress za kujikuta na sura MBAYA?...maana warembo humu kibao na hawana shobo...lenyewe kama gari la mkaa...ila nongwa kila kukicha.!

teh teh teh. Ana shobo za kijinga. Una contacts zake?
 
Last edited by a moderator:
Labda kaka zake na the like ndo wanastink,vinginevyo hata yy hajiheshimu pia na hamweshimu hata mme wake kama anae.

Kwani hiyo radio imekuwa ni insulting center hapa bongo?
 
Mwanadada amebugi step ile mbaya! Kwenye wall yake ya facebook kuna matusi ya kujaza dunia. Tokea jana usiku mpaka leo matusi yanaendelea kumiminika!
 
Watanzania wengi ikiwa pamoja na serikali yetu hatujui kati ya kukosolewa kwa lengo la maendeleo na kutukanwa.Hivi mtu akisema we mchafu kwanini ujae gesi?Kwani uongo hakuna wanaume wachafu?Kwani hakuna wanawake wachafu?Jamani haya ni mawazo chanya na tuyachukulie hivyo.Wanaume tujirekebishe ebo!
 
Watanzania wengi ikiwa pamoja na serikali yetu hatujui kati ya kukosolewa kwa lengo la maendeleo na kutukanwa.Hivi mtu akisema we mchafu kwanini ujae gesi?Kwani uongo hakuna wanaume wachafu?Kwani hakuna wanawake wachafu?Jamani haya ni mawazo chanya na tuyachukulie hivyo.Wanaume tujirekebishe ebo!

haya kama yeye anajua kila m2 anajua wapo kwanin anarusha hayo mambo on air..kama kaishiwa topic aseme.
 
Diva unawadharilisha wanaume uliotembea nao na wanaume wa ofisini kwenu watakutenga na pia mbona na wewe mda mwingi unatafuna big g(bazooka) mdomoni au na wewe unatema?
anatema juu na chini, mdogo wangu ni bi-sexeual alishasagana naye, kei yake haifai, sijui kwa nini kawanga wakaka wa watu, shame upon her!
 
Dah! inawezekana yupo right manake nimejaribu kunusa boxer yangu hapa inatema mbaya na imenitibua sinus ndani ya dakika 4.
Acha niwahi JF dokta

na wewe umetembea na yule Mwanamke nikutaje nisikutaje?
 
Back
Top Bottom