Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pacha Nicas Mtei huyu mtu nahisi ana stress za maisha...yaani ni copy-ryt na huyu diva!wenzio wakifanya utani wewe unakomaa unadhani ni kweli...
au stress za kujikuta na sura MBAYA?...maana warembo humu kibao na hawana shobo...lenyewe kama gari la mkaa...ila nongwa kila kukicha.!
Watanzania wengi ikiwa pamoja na serikali yetu hatujui kati ya kukosolewa kwa lengo la maendeleo na kutukanwa.Hivi mtu akisema we mchafu kwanini ujae gesi?Kwani uongo hakuna wanaume wachafu?Kwani hakuna wanawake wachafu?Jamani haya ni mawazo chanya na tuyachukulie hivyo.Wanaume tujirekebishe ebo!
anatema juu na chini, mdogo wangu ni bi-sexeual alishasagana naye, kei yake haifai, sijui kwa nini kawanga wakaka wa watu, shame upon her!Diva unawadharilisha wanaume uliotembea nao na wanaume wa ofisini kwenu watakutenga na pia mbona na wewe mda mwingi unatafuna big g(bazooka) mdomoni au na wewe unatema?
haya kama yeye anajua kila m2 anajua wapo kwanin anarusha hayo mambo on air..kama kaishiwa topic aseme.
Dah! inawezekana yupo right manake nimejaribu kunusa boxer yangu hapa inatema mbaya na imenitibua sinus ndani ya dakika 4.
Acha niwahi JF dokta
Dah! inawezekana yupo right manake nimejaribu kunusa boxer yangu hapa inatema mbaya na imenitibua sinus ndani ya dakika 4.
Acha niwahi JF dokta