Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

kuna kaukweli kwa kiasi fulani ila sijui kama ni wengi, wote au wachache kuhusu hizo harufu, lakini je..... ni wanaume tu??

vipi harufu za mbunye, midomo na vitu vingine kama nywele??? Tena hasa zile za unga-unga mwana??

NADHANI CHA MAANA NI MUBORESHA AFYA YA MWILI NA KUJIFUNZA KUZUIYA VYANZO VYOVYOTE YA HARUFU
 
Kunyea sijui na kumjojolea hakusaidii! Nakuhakikishia humu jf wakiulizwa wababa, wakaka na wavulana wasiorudia boxer/vyupi ni wangapi wakiwa na lie detector utashangaa! Naogopa kukuuliza kama maishani mwako hujawahi kurudia boxer ama kyupio bila kufua. Naomba usijibu BAGAH
huko facebook ni MAJANGA...watu wamemnyea kinoma...laiti na huku kungekua hakuna jela,ningefanya kitu....
 
Last edited by a moderator:
wakaka wamekuja juu,kwa maneno na kashfa tele kwa dada wa watu....kafueni boxer....................hehehhhehe embu nicheke mie....

wasichana mbona ndo mnaongoza kwa kutokwa na uchafu wa njano/kijani sehemu za siri tena unaotoa harufu mbaaaaya puuh! Kila siku mnapishana mahospitalini. Mbona husemi?
 
Kunyea sijui na kumjojolea hakusaidii! Nakuhakikishia humu jf wakiulizwa wababa, wakaka na wavulana wasiorudia boxer/vyupi ni wangapi wakiwa na lie detector utashangaa! Naogopa kukuuliza kama maishani mwako hujawahi kurudia boxer ama kyupio bila kufua. Naomba usijibu BAGAH

haha!...kwa kuwa umeomba nisijibu, sitajibu King'asti
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa nzuri kama angeanza na katoa mimba ngapi,ndio aendelee na huu ushenzi
 
duuh kama kunuka jaman wadad wanatema, hebu fikiria yule asiyejipulzia unyunyu! Mwanaume hawez fikia robo ya harufu ya wadada jaman, utafit wake ni wakichna na atakuwa alimegwa na wawil hv akakutana na hyo hal coz alipigwa vya chap chap eneo ambalo c rasm.
 
ile Thread kule MAMBO YA KIKUBWA inayosema "kunuka ngenya ni janga la kitaifa kwa wanawake" iletwe huku tuijadili pamoja na hii!! maana sidhani kama kuna binadamu asiye mchafu, yeye DIVA ajaribu kuingiza kidole chake cha shahada masaburini kwake halafu anuse ndio ajue kila mwanadamu ananuka!
 
niliingia page yake ya fcbk jana. duuh hayo matusi aliyokoga mungu anajua.... search "the one diva loveness love" ulayaone ya firauni
 
anamwongelea kibonde na wanaume wa redio clouds kina ruge...aje huku aone kama atabanduka..kajitongozesha kwa mabossi maskini wee matokeo yake ndio haya

hivyo mabosi wake ndio wananuka ... teh teh teh anaongelea experience na watu alionao karibu walivyo......
 
daaaah!! huu uzi unaleta raha unapousoma lo! maana majibu yaliyotolewa na wachangiaji wa mada yana mvuto wa kila aina kwakuwa yamejaa jazba, chuki, kisasi, uelewa, ushabiki, masikhara na ukweli kwa namna moja au nyingine. Wengine yetu macho, acha tushuhudie michango ya watu juu ya hii mada.
 
Lisemwalo lipo.kama kuna m2 limemtach ajirekebshe na sio kutoa maneno ya nvyo!
 
Kuna Wanaume na Wavulana. Nahisi ameshindwa kutofautisha hili jambo. Mbona na yeye Pachu pachu yake inanuka shombo ya samaki. Yeye nani hasa? Ni haki yake kusema au anatafuta umaarufu mbuzi na yeye ajulikane ni nani!!!!Hili ni tatizo la Clouds kupenda kuchukua cheap labour wengine hawajui ethics za utangazaji. Nadhani ni wakati wa baraza la Habari Tanzania kuingilia kati uozo huu uliovuka mipaka.
 
Back
Top Bottom