Wanaume wa wanawake wafanyakazi

ma jery

Senior Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
171
Reaction score
65
Jamani kuna kitu kinanishangaza utakuta mwanamke ameolewa na mume wake anao uwezo kawaida ila saa ya lunch anaomba omba vioffer ivi wanaume mnashindwa kuwapa wake zenu ela ya lunch?
Mi na wish nipate mwanaume atakaenicare kwa vitu kama ivo jamani anipe nauli na hela ya lunch ata kama ninayo.i will be broud of him.so wanaume kuweni na moyo wa kuwajali wake zenu
 

Hela ya lunch? Kama na wewe unafanya kazi hela ya lanchi ya nini sasa? Au zako unazibania ili ununue vikarolaiti vyenu?
 
Ni njaa tu za ajabu!!

Kama wewe mwenyewe unafanya kazi unakosaje pesa ya lunch mpaka uombe ombe?!Au ndo yale we unaweza kuafford chapati na soda ila unachotamani na kutaka kula ni chips kuku au burger?!

Alafu na mwanaume akikupa wewe pesa ya lunch kula siku na yeye anapewa na nani?!Kama huwezi kuafford kununua lunch beba kiporo nenda nacho kazini.Hamna haja ya kutamani vitu usivyo na uwezo navyo mpaka kuishia kuomba omba.Maana siku utakayoambiwa ulipe madeni ya watu ndo utakoma!!
 
Na mwisho wake ni kula ile 'lunch kubwa'.Huna haja ya kuwa tegemezi kihivyo.
 
i wish tu anipe aonekane kunijali si kuna kufulia jamani? Si ndo baba wa family au?
 
hela ya lunch? Kama na wewe unafanya kazi hela ya lanchi ya nini sasa? Au zako unazibania ili ununue vikarolaiti vyenu?
tutakuwa tunatumia wote ila i wish ajue niko oke muda wote
 
Ma jery leo nikupe ofa ya lunch?
Waenda restaurant ipi???????
 
Bora na wenzangu mmeona. Si wanawake na wanaume pia wamo!!! Inakera sana
 
i wish tu anipe aonekane kunijali si kuna kufulia jamani? Si ndo baba wa family au?

ehhh makubwa aya so km baba wa family basi ata ped akununulie?ata km unamshahara wako?

KES YA KUFULIA INAJULIKANJA NA WALA AITOKEI DAILY...BT WEWE unamaanisha unamtaka yule mwanaume wa daily asubui...bibieee ehhn chukua ela apo juu ....ukichek kitwenty ivi...na kesho pia akupe,...

badala ya kuwaza kitoto like kupenda upewe tu /utumbue tu pesa za mmeo kwa jina la CARE..ni vyema mkakaaa chini mkapanga woote pesa zenu/zake mzifanyie nini..

like...ths month kwa chakula apa home tutumie sh 8
usafiri sh 5

benk tupeleke sha 5
izi sh 3 tukawanunulie sukari wazaz...

ukfanya ivo utajua kwamba ela inamatumizi na si ya kutoa/ku show off ata km akuna ulazima wa kufanya ivo

NOTE;WAWEZA PEWA PESA NYINGIIII LAKIN UKAWA AUPENDWI....NA PESA SI ISHARA KUJALIWA/SI ISHARA YA CARE


mf....wewe unaumwa unampigia simu mmeo ehh bwana mi nipo hoi naumwa nimerudi home...yeye anajibu ahh ok ebu chukua laki 5 apo juu ya kabat nenda hospital bas mi nipo bar kidogo nakula bata na washikaji ela km aitoshi unambie basi ntakuche badaye km vip....


apo utanambiaje/jamaa kakucare?
shda ako asi pesa umepewa lakin je umeridhika?

PESA SI ISHARA YA CARE MAMA...thk fresh
 
so mtu mnaagana asubui hata hajui status yako ni fair kweli?
 
Mi na wish nipate mwanaume atakaenicare kwa vitu kama ivo jamani anipe nauli na hela ya lunch ata kama ninayo.i will be broud of him.

Duh!

With all love, dada hiyo wish siyo nzuri..yaani unatengeneza kuwa tegemezi kwa mwanaume..

Kwanza ..tafuta yako... kama umepata sema No toka kwa mwanaume..Kama umekosa anaweza kukuinua..lakini sio akubebe..iko siku akuliza!
 
Utanisamehe mtoa mada! Sijaona tofauti ya huyo mwanamke unayemlaumu kwa kupenda dezo na wewe mwenyewe... Amini usiamini wewe na huyo mna mtazamo mmoja kuhusu wanaume na pesa.
 
Utanisamehe mtoa mada! Sijaona tofauti ya huyo mwanamke unayemlaumu kwa kupenda dezo na wewe mwenyewe... Amini usiamini wewe na huyo mna mtazamo mmoja kuhusu wanaume na pesa.
yupo na mume asiemjali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…