i wish tu anipe aonekane kunijali si kuna kufulia jamani? Si ndo baba wa family au?
ehhh makubwa aya so km baba wa family basi ata ped akununulie?ata km unamshahara wako?
KES YA KUFULIA INAJULIKANJA NA WALA AITOKEI DAILY...BT WEWE unamaanisha unamtaka yule mwanaume wa daily asubui...bibieee ehhn chukua ela apo juu ....ukichek kitwenty ivi...na kesho pia akupe,...
badala ya kuwaza kitoto like kupenda upewe tu /utumbue tu pesa za mmeo kwa jina la CARE..ni vyema mkakaaa chini mkapanga woote pesa zenu/zake mzifanyie nini..
like...ths month kwa chakula apa home tutumie sh 8
usafiri sh 5
benk tupeleke sha 5
izi sh 3 tukawanunulie sukari wazaz...
ukfanya ivo utajua kwamba ela inamatumizi na si ya kutoa/ku show off ata km akuna ulazima wa kufanya ivo
NOTE;WAWEZA PEWA PESA NYINGIIII LAKIN UKAWA AUPENDWI....NA PESA SI ISHARA KUJALIWA/SI ISHARA YA CARE
mf....wewe unaumwa unampigia simu mmeo ehh bwana mi nipo hoi naumwa nimerudi home...yeye anajibu ahh ok ebu chukua laki 5 apo juu ya kabat nenda hospital bas mi nipo bar kidogo nakula bata na washikaji ela km aitoshi unambie basi ntakuche badaye km vip....
apo utanambiaje/jamaa kakucare?
shda ako asi pesa umepewa lakin je umeridhika?
PESA SI ISHARA YA CARE MAMA...thk fresh