Wanaume wa wanawake wafanyakazi

Kama hata lunch huwezi kujinunulia kazini unaenda kufanya nini?? Kunyosha miguu? Si ukae nyumbani tu ulee watoto kupunguza gharama za familia?

Ajabu mwe! sa hiyo ni kazi nayo au kitu gani? kuomba omba ni hulka ya mtu kuna midume mingine na familia zao lakini kutwa kuomba omba so hiyo ni tabia mbaya tu sio kwamba mume hakujali wala nini. Ukishafikia hatua hii na unafanya kazi ufe tu wakuzike huna faida duniani.

<br /
Punguza ukali maty. Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua sasa kama yeye anataka kuishi hivyo tumtakie kila la kheri ila kwa TZ yetu atasubiri sana.

Hiyo ni kama mazoea na mazoea hujenga tabia, hata kama hiyo pesa ya lunch anayo mfukon ataomba tu

hapo sawa kabisa Maty

thax dear...
chanzo cha mtu kutokuwa na huruma na ela ya mwenzie ni UCHOYO TU....
km mshapanaga ebana ela i ni ya ivi na ile ni ya ivi we yako fanya ivi ..sasa utaaanzaje asubui kuanza kumwamkia mwenzio na vbomu...

maji alipe,luku alipe,msosi home alete.mafuta gari....APO BADO KWELI UNAONA AKUJALI mpk akupe ela ya lanch?duhh mi naona u ni unyonyaji by the name of love....

mi apana kwakweli namwomba mungu nisibadilike apo baadaye bt for now AIWEZEKANI UKAMFANYA BOYFREND/MUMEO km vile ATM..I MAY CAL it dhambi.

Huna haja ya kuomba kila kukicha asubuhi, mwenyewe anajua tu, pocket money per month kiasi fulani mwenzangu,petrol kias fulani kama huwekewe ofisini, other expenses kiasi fulani,
PHP:
looooo kutunzwa raha mwenzangu

Sasa mpenzi kwa nini unajichosha kufanya kazi, wakati hata haikusaidii, bora ukae nyumbani ujipikie chakula kizuri ule na mmeo

Me luv you Lizzy
kwa kweli, ujue wanawake wengi wamezidi kujiendekeza. Jikune pale unapoweza kufikia, ndo walewale ambao utakuta hata family zao haziendelei kwa sababu ya mama kupenda anasa. "Mwanamke mwerevu huijenga nyumba yake mwenyewe, na mwanamke mpumbavu huibomoa kwa mikono yake". Kalagabaho!!!!!!!!

Huna haja ya kuomba kila kukicha asubuhi, mwenyewe anajua tu, pocket money per month kiasi fulani mwenzangu,petrol kias fulani kama huwekewe ofisini, other expenses kiasi fulani, looooo kutunzwa raha mwenzangu

Kutunzwa kweli raha mpenzi, ila kisa unatunzwa ndio hela yako kibindoni hata chakula chako mwenyewe kujinunulia unashindwa kha! si hata mtoto akiishiwa kaptula au sketi utamwacha atembee na madabwada mpaka baba amnunulie, wapo wanawake wa hivyo wenyewe wanapendezaaaaaaa kaangalie watoto wake nyumbani kama machokoraa

Vipato vya wanandoa ni mali ya wote hvyo kila mmoja apatapo aweke wazi kwa mwenzake na matumizi yake ni vyema kushirikishana. Kusema eti usipopewa na mume ni kutokujali ni ufinyu wa mawazo.

Hela ya lunch? Kama na wewe unafanya kazi hela ya lanchi ya nini sasa? Au zako unazibania ili ununue vikarolaiti vyenu?

Teh teh teh🙂 Wacha ukali BANAAAA!!!!! HIyo si kuwa hana mshahara; ni RUSHWA YA MAPENZI IN A POLITE WAY.....🙂

Hapo kwenye Red Kama mambo yenyewe ndop hivyo naomba Mungu asikupe mume wa kukuoa, Iweje uwe mfanyakazi halafu nauli ya kazini atoe mume ?

Maisha kusaidiana sweetheart..sio kila siku kupewa siku nyingine na wewe unampa ka offer ka lunch huyo mme wako hata kama ni chips dume
Utakimbiwa Ma jery

Kwa sampuli hii ya utegemezi kupita..kumbe ndiyo maana soko la mwanamke wa kichaga liko juu sana..!

waambie mwaya....
hao ndio wanat.....ombewa wake zao......
mwanaume lazima ujue mkeo kala nini haloooooooooooooooooooooooooooooooooo!

kweli uko deep sana washichana wote mngekua hivyo ningewaoa ka mswat.

waambie mwaya....

hao ndio wanat.....ombewa wake zao......

mwanaume lazima ujue mkeo kala nini haloooooooooooooooooooooooooooooooooo!

we utauza utu wako kwa ajili ya kupenda kukunwa ata unapoweza jikuna afu we unaonekana mgawaji eeeh?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…