ehhh makubwa aya so km baba wa family basi ata ped akununulie?ata km
unamshahara wako?
mwanaume wa daily asubui...bibieee ehhn chukua ela apo juu ....ukichek kitwenty ivi...na kesho pia akupe,...
Kazi atakuwa anafanya ya nini sasa?
badala ya kuwaza kitoto like kupenda upewe tu /utumbue tu pesa za mmeo kwa jina la CARE..ni vyema mkakaaa chini mkapanga woote pesa zenu/zake mzifanyie nini..
like...ths month kwa chakula apa home tutumie sh 8
Haihitaji bunge kuketi Dodoma kupanga bajeti... mwanamke mwenye kujua wajibu wake atajua anatakiwa kuchangia nini katika kendesha familia.
PESA SI ISHARA YA CARE MAMA...thk fresh
Kweli kabisa.
Mwisho ...nitasema hivi:
Mwanamke kama unafanya kazi basi hata faida ya wewe kufanya kazi ionekane. Mwanamke tegemezi huwezi kuheshimiwa na familia yako.Hata watoto wako watakuwa wanaona huna tofauti na wao kwa maana uko tegemezi! Watoto wanapokuona uko financially independent wanajisikia furaha na proud kuwa na mama kama wewe.
Pia kama kazi yako haikuwezeshi hata kujinunulia lunch na vitu vidogovidogo basi huna sababu ya kufanya kazi,Kwani huko kazini unaenda kuuza sura?