Wanaume wa wanawake wafanyakazi

<br />
<br />
Jivue gamba na hiyo nafasi yako aajiriwe mtu mwingine halafu we urudi kuwajibika nyumbani tu. Walau uwe unamsubiria mumeo basi unamfanyia hata massage uchovu wa kazi unapungua kuliko hivo unavomuongezea mzigo wa lunch!! Hee......we mwanamke wa wapi? Maana hata wale wa enzi za mababu zetu walikuwa wanaamka alfajiri na mapema wanachemsha viazi/viporo vyao wanajiendea shamba, sembuse wewe mwenye mshahara!! Shame on you! Acha kabisa hiyo kazi kama huwezi kujinunulia lunch . Halafu kama mshahara wako ni kidogo why utake vya juu? Mwingine utakuta ana mshahara wa kutosha kabisa lakini kazi ubahili tu......jamani hadi kwenye afya yako mwenyewe?! Fikra hasi kama hizi zinarudisha maendeleo nyuma kwakweli!
 
<br />
<br />
Jamani, huyo mwanamke mwenye kazi, hlf muda wa lunch anaomba offer kiukwel anajidhalilisha na kujiaibisha yeye na kaz yake. Hata kama mume ana kaz na uwezo mzuri sio kigezo cha yeye kutoa pesa kwa kila hitaji ndani ya nyumba. Maisha ni kusaidiana na kama mwanamke ana kazi kwa nin mambo mengine madogomadogo kama naul, lunch asiyamalize yeye mwenyewe tu? Inaonekana huyo atataka hata matunda na mboga alete baba. Huo ni uonevu.
 
wanawake wa taarabu wanajipambanua wenyewe hapa,
 
Hulka ya mtu huwa na mchango ktk hili, kiasilia kuna watu wanahizi tabia, hata iwaje kubadirika ni ngumu so kunawanawake wa tabia hizi pia! Sio vizuri kabisa!
 
............ma jery...........kwanza nikupe pole kama mpaka sasa kama hujapata wa kuku care,kwa ajili ya lunch,hakika inaonekana huna mvuto,ushauri tuu,anza diet..........kwani haina gharama,
 
Ma weeeeeeeeeeee!

Kuna jamaa yangu ninae hapa job, anatoa huduma zote kwa shemeji ikiwemo private transport na pocket money lakini anachofanyiwa na ma wife wake ni masikitiko makubwa - yaani mama ni mcharuko ile mbaya.

Hapa unasemaje?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Dada,nimekukubali wewe kichwa.Maana wanawake wengi ku care wanamaanisha ATM,upuuzi mtupu,siwapendagi dizaini hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…