Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
<br />Jamani kuna kitu kinanishangaza utakuta mwanamke ameolewa na mume wake anao uwezo kawaida ila saa ya lunch anaomba omba vioffer ivi wanaume mnashindwa kuwapa wake zenu ela ya lunch?<br />
Mi na wish nipate mwanaume atakaenicare kwa vitu kama ivo jamani anipe nauli na hela ya lunch ata kama ninayo.i will be broud of him.so wanaume kuweni na moyo wa kuwajali wake zenu
<br />
Jivue gamba na hiyo nafasi yako aajiriwe mtu mwingine halafu we urudi kuwajibika nyumbani tu. Walau uwe unamsubiria mumeo basi unamfanyia hata massage uchovu wa kazi unapungua kuliko hivo unavomuongezea mzigo wa lunch!! Hee......we mwanamke wa wapi? Maana hata wale wa enzi za mababu zetu walikuwa wanaamka alfajiri na mapema wanachemsha viazi/viporo vyao wanajiendea shamba, sembuse wewe mwenye mshahara!! Shame on you! Acha kabisa hiyo kazi kama huwezi kujinunulia lunch . Halafu kama mshahara wako ni kidogo why utake vya juu? Mwingine utakuta ana mshahara wa kutosha kabisa lakini kazi ubahili tu......jamani hadi kwenye afya yako mwenyewe?! Fikra hasi kama hizi zinarudisha maendeleo nyuma kwakweli!