Wanaume wa wanawake wafanyakazi

Wanaume wa wanawake wafanyakazi

Ushauri wako ni nini hapo?sijakuelewa.
yaani mwanaume as head of the family ajue direction zote za familia kwa siku yeye na mkewe leo lunc tunakula vipi na watoto ni vp sio kisa nina kazi ndo nitajiju

Jamani kuna kitu kinanishangaza utakuta mwanamke ameolewa na mume wake anao uwezo kawaida ila saa ya lunch anaomba omba vioffer ivi wanaume mnashindwa kuwapa wake zenu ela ya lunch?
Mi na wish nipate mwanaume atakaenicare kwa vitu kama ivo jamani anipe nauli na hela ya lunch ata kama ninayo.i will be broud of him.so wanaume kuweni na moyo wa kuwajali wake zenu

Kweli wanaume mna kazi..duh! Hainingii akilini kabisa mtu anafanya kazi aache kununua lunch, kisa hajapewa hela ya lunch na mumewe......?!* KWELIIII? Hata kama baba ndo kichwa cha familia na ana jukumu la kuitunza familia yake. Hii ni kujidhalilisha. Nafikiri huyo bibie anae omba omba ni hulka yake tu... kwa hiyo hata akipewa ataishia kwenye VIWALO na Carolight. Ma jery na weye unatafuta m.ume atakaeweza kukupatia hivi.. sali sana mami.. Life ya sasa ni kusaidiana usisubiri kupewa kila kitu...

Okeeeeeeeeeee nitampelekea asome halafu nitakuletea majibu.

yaani mwanaume as head of the family ajue direction zote za familia kwa siku yeye na mkewe leo lunc tunakula vipi na watoto ni vp sio kisa nina kazi ndo nitajiju

Ni njaa tu za ajabu!!

Kama wewe mwenyewe unafanya kazi unakosaje pesa ya lunch mpaka uombe ombe?!Au ndo yale we unaweza kuafford chapati na soda ila unachotamani na kutaka kula ni chips kuku au burger?!

Alafu na mwanaume akikupa wewe pesa ya lunch kula siku na yeye anapewa na nani?!Kama huwezi kuafford kununua lunch beba kiporo nenda nacho kazini.Hamna haja ya kutamani vitu usivyo na uwezo navyo mpaka kuishia kuomba omba.Maana siku utakayoambiwa ulipe madeni ya watu ndo utakoma!![/QUOTE]

Ni njaa tu za ajabu!! ----- Hii si njaa bana tuite ULAFI

Maana siku utakayoambiwa ulipe madeni ya watu ndo utakoma!! -- KURA URIWE lol

so mtu mnaagana asubui hata hajui status yako ni fair kweli?

so kujuliwa status yako ni mpk aseme mamaa ebu chukua pesa i ya mchana?

soma fresh apo juu km mnapanga wote uwez kuwa na mawazo ya kiparasite ..ushavaa wala uondoki chumbani kumbe unasubiri uambiwe chukua i dear....

mkipanga pamoja unajua kabsa jamaa hana ela pesa ..mshazipangilia pesa zenu ...sasa cha kuanza kuchungulia mfuko wa mwenzio yahuu?
kwanini wewe usimpe bas?kwan yey hana matumizi?au kwa vile mwanaume so akienda mgahawa basi anapewa lunch bureeeee?

wak up gal...achana na izo parasite kind of care

hata mimi nitamake sure yuko fresh issue sio lazima anipe hela yake ile tu kujua mama yuko shwari

so kujuliwa status yako ni mpk aseme mamaa ebu chukua pesa i ya mchana?

soma fresh apo juu km mnapanga wote uwez kuwa na mawazo ya kiparasite ..ushavaa wala uondoki chumbani kumbe unasubiri uambiwe chukua i dear....

mkipanga pamoja unajua kabsa jamaa hana ela pesa ..mshazipangilia pesa zenu ...sasa cha kuanza kuchungulia mfuko wa mwenzio yahuu?
kwanini wewe usimpe bas?kwan yey hana matumizi?au kwa vile mwanaume so akienda mgahawa basi anapewa lunch bureeeee?

wak up gal...achana na izo parasite kind of care

siku nyingine ukiamka vizuri, bila kula yale maviporo yako......
unakuwaga na busara zaidi...........hongera!!!!!!!

siku nyingine ukiamka vizuri, bila kula yale maviporo yako......
unakuwaga na busara zaidi...........hongera!!!!!!!

we mwanaume unadondoka lin?
ushafanya buking?
lodge ztajaa..fanya uwai....mijitu ming sana pande i

jamani lile bango liko wapi? "HUSBAND IS NOT ATM"

Kama hata lunch huwezi kujinunulia kazini unaenda kufanya nini?? Kunyosha miguu? Si ukae nyumbani tu ulee watoto kupunguza gharama za familia?

ma jery hebu msome rose1980
acha kuwa tegemeze......unapokuwa na kazi unatakiwa kutekeleza mambo mengine sio kumtegemea mume.......kama hayo ya lunch n.k ....mwanamke unanga'ng'ania asubuhi upewe hela ya lunch........ kuna mambo muhimu ya kufanya unawezakuta ndio mnajenga gharama zote anafanya mumeo nawe bado unasubiri kuingia kwenye payroll asubuhi na mapema

ma jery, kuomba omba ni tabia ya mtu na ni kujizoesha. siku hizi kuna wanaume ombaomba pia. wote tu wananichefua! kama huna hela ya lunch, unayo ya saluni na kununua lipstick? tabia MBAYA,MBAYA,MBAYA! kama huna hela ya lunch pika mihogo asubuhi weka kwa container dumbukiza pochini! ukifika mchana kula na chai! umaskini wa kifikra unaanzia huku,nadhani ndo attitude ya viongozi wetu hii! hata mumeo usimuombe ombe, atakuona wa ajabu. kama yeye hajui majukumu yake msaidie, struggle uongeze kipato! maofisini kuna ombaomba smart,midada inaomba hadi hela ya vocha! mppphhhwwweee!

Jamani kuna kitu kinanishangaza utakuta mwanamke ameolewa na mume wake anao uwezo kawaida ila saa ya lunch anaomba omba vioffer ivi wanaume mnashindwa kuwapa wake zenu ela ya lunch?
Mi na wish nipate mwanaume atakaenicare kwa vitu kama ivo jamani anipe nauli na hela ya lunch ata kama ninayo.i will be broud of him.so wanaume kuweni na moyo wa kuwajali wake zenu

ehhh makubwa aya so km baba wa family basi ata ped akununulie?ata km unamshahara wako?

KES YA KUFULIA INAJULIKANJA NA WALA AITOKEI DAILY...BT WEWE unamaanisha unamtaka yule mwanaume wa daily asubui...bibieee ehhn chukua ela apo juu ....ukichek kitwenty ivi...na kesho pia akupe,...

badala ya kuwaza kitoto like kupenda upewe tu /utumbue tu pesa za mmeo kwa jina la CARE..ni vyema mkakaaa chini mkapanga woote pesa zenu/zake mzifanyie nini..

like...ths month kwa chakula apa home tutumie sh 8

usafiri sh 5

benk tupeleke sha 5

izi sh 3 tukawanunulie sukari wazaz...

ukfanya ivo utajua kwamba ela inamatumizi na si ya kutoa/ku show off ata km akuna ulazima wa kufanya ivo

NOTE;WAWEZA PEWA PESA NYINGIIII LAKIN UKAWA AUPENDWI....NA PESA SI ISHARA KUJALIWA/SI ISHARA YA CARE

mf....wewe unaumwa unampigia simu mmeo ehh bwana mi nipo hoi naumwa nimerudi home...yeye anajibu ahh ok ebu chukua laki 5 apo juu ya kabat nenda hospital bas mi nipo bar kidogo nakula bata na washikaji ela km aitoshi unambie basi ntakuche badaye km vip....

apo utanambiaje/jamaa kakucare?

shda ako asi pesa umepewa lakin je umeridhika?

PESA SI ISHARA YA CARE MAMA...thk fresh

dada rose we ndo umemaliza kabisa unafaa kua mfundaji umempa mwenzako darasa la kutosha inafaa akuchek ata na credit kadhaa kama sio asante ya mdomo, yani mi mpaka namuonea wivu mumeo unaonekana kua na upeo tofaut na madem wengi wa leo utakuta mnafanya kaz sehemu moja mshahara mmoja lkn atataka umlipie nauli, umpe msos, na wekend umtoe out zake kibindoni na hapo ujamuoa we unafikiri kuna nini apo kama sio kumchungulia na kumkimbia coz now days ndo style ya madem wengi yuko radhi ata awe na mabwana wengi ka anajiuza ila kutumia pesa zake kwa basic needs ni dhambi ye zake ni kupiga pamba tu na ndo maana tunawapiga vibuti kila siku mwisho wa siku wanatuona tuna matatizo kumbe wao ndo chanzo ila hawajajua tu, bg up 2 u kwa darasa zuri na hii ni kwa mabiishost wote wenye matabia ka hizi bana au sio.

Jamani kuna kitu kinanishangaza utakuta mwanamke ameolewa na mume wake anao uwezo kawaida ila saa ya lunch anaomba omba vioffer ivi wanaume mnashindwa kuwapa wake zenu ela ya lunch?
Mi na wish nipate mwanaume atakaenicare kwa vitu kama ivo jamani anipe nauli na hela ya lunch ata kama ninayo.i will be broud of him.so wanaume kuweni na moyo wa kuwajali wake zenu

Wanawake wenye tabia hizi mara nyingi walikuwa watu wa 'chipsi mayai' tu umegonga wakati wako shule/chuo!

Ni njaa tu za ajabu!!

Kama wewe mwenyewe unafanya kazi unakosaje pesa ya lunch mpaka uombe ombe?!Au ndo yale we unaweza kuafford chapati na soda ila unachotamani na kutaka kula ni chips kuku au burger?!

Alafu na mwanaume akikupa wewe pesa ya lunch kula siku na yeye anapewa na nani?!Kama huwezi kuafford kununua lunch beba kiporo nenda nacho kazini.Hamna haja ya kutamani vitu usivyo na uwezo navyo mpaka kuishia kuomba omba.Maana siku utakayoambiwa ulipe madeni ya watu ndo utakoma!!

ur ryt 100%

Hamna mwanaume mjinga kiasi hicho anaekupa hela daily na wewe una salary every month,utaishia kumegwa na kuachwa na mafataki kila siku!

Ni njaa tu za ajabu!!

Kama wewe mwenyewe unafanya kazi unakosaje pesa ya lunch mpaka uombe ombe?!Au ndo yale we unaweza kuafford chapati na soda ila unachotamani na kutaka kula ni chips kuku au burger?!

Alafu na mwanaume akikupa wewe pesa ya lunch kula siku na yeye anapewa na nani?!Kama huwezi kuafford kununua lunch beba kiporo nenda nacho kazini.Hamna haja ya kutamani vitu usivyo na uwezo navyo mpaka kuishia kuomba omba.Maana siku utakayoambiwa ulipe madeni ya watu ndo utakoma!!

haaah haaah haaah Lizzy ndo mana me nakupenda dear yani hapa umemaliza kila kitu, ndo hawa wanaotaka wanaleta kigezo cha financial stability ya mume, ona sasa wanataka kupewa lunch wakati wanapiga kaz na kupokea mshahara, ujinga huu!

Back
Top Bottom