Wanaume wa Wilaya ya Sengerema walalamikiwa kwa tabia ya kuwapa wanafunzi ujauzito

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Sengerema wanafunzi wapatao 254 wa shule za msingi na Sekondari Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wamekatishwa masomo kwa kupatia ujauzito kwa mwaka Kati ya mwaka 2020/21.

Hayo yamebainishwa na mkuu wa dawati la Jinsia Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza Insepectar wa Polisi Martha Silvesta alipokuwa akizungumuza na vyombo vya habari Desemba 11 mwaka huu.

Amesema mwaka 2020 lilipotokea janga la ugonjwa wa Uviko 19 wanafunzi wakalazimika kufunga shule na kurudi nyumbani wanafunzi wa kike wapatao 168 waligundulika wakiwa na ujauzito huku mwaka 2021 waligundulika wanafunzi wakiwa na ujauzito 86.

Amesema dawati la jinsia wamejipanga kutoa elimu ya ukatili wanaofanyiwa watoto wa kike hasa wa chini wa umri wa Miaka 18 Ili watokomeze jambo hilo.

Martha amesema kitendo cha kumpatia ujauzito mtoto wa kike chini ya miaka 18 ni tendo la ukatili hivyo jamii inatakiwa kuachana na tabia hiyo ambavyo inamdidimiza mtoto wa kikie.

" Mimba hizi zimeripotiwa dawati la jinsia changamoto iliyopo ni wahusika kutokupatikana kwa kuwa wametoroka hivyo jamii inatakiwa kushirikiana na dawati kuhakikisha watu waliofanya vitendo vya ukatili wanachikuwa hatua" amesema Silvesta.

Diwani wa Kata ya Ibisageni Jumanne Masunga amesema tatizo la Wanafunzi kukatishwa masomo kwa kupata ujauzito ni kubwa hivyo serikali inatakiwa kutia makazo huu ya jambo hilo nakuwanusu watoto wa kike.

Watoto wa kike wa wanaosoma darasa la sita na Saba kidato cha kwanza na pili ndiyo waathirika zaidi wa ukatili huo ambao unafanywa na watu wasionamapenzi mema" amesema Martha.

Novemba6 mwaka huu Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Sengerema liliomba ofisi ya mkurugenzi wa Halmashauri ya Sengerema kutoa takwimu sahihi za wanafunzi waliopata ujauzo Ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua.

Mkuu wa wilaya ya Sengerema Senyi Ngaga amesema siyo Jambo baya kupata takwimu za watoto waliopata ujauzito wakiwa Shuleni lakini tunapaswa kutoa elimu juu janga hili Ili watoto wakike waondokane na hali hiyo.

Mmoja wa Wananchi wilayani Sengerema Anastazia John amesema vitendo vya ukatili kwa watoto wa kike vimeshamili hivyo jamii inatakiwa kutoa ushirikiano Kwa serikali Ili wahusika wachukuliwe hatua.

images (14).jpeg
 
View attachment 2040737
Hiyo siyo issue tena.Mbona serikali imeshasema wazae tuu waongezeke.ila cha msingi warudi darasani
 
Waacheni wazae si wameruhusiwa kuludi tena shuleni kina Mama ashura sijui Mama amina,,
Alafu hiyo ni kawaida sana kwa jamii hasa za kifugaji inabidi wawekewe sheria za kuwabana kuanzia wazazi,,hao watia mimba na watiwa mimba
 
Back
Top Bottom