Wamejiroga wenyewe 😂Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho.
Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao.
Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu zao oooh nisaidie laki nimeishiwa mara oooh nipe nauli niwahi kibaruani.
Enyi wanaume ni nani aliyewaroga?
Ma Mshuza unapewa zawadi gani kutusema Baba zako kila siku?Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho.
Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao.
Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu zao oooh nisaidie laki nimeishiwa mara oooh nipe nauli niwahi kibaruani.
Enyi wanaume ni nani aliyewaroga?
Eeh na wewe si utafute zakoWanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho.
Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao.
Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu zao oooh nisaidie laki nimeishiwa mara oooh nipe nauli niwahi kibaruani.
Enyi wanaume ni nani aliyewaroga?
Nyie ndo kiboko hamfai, chetu chenu, chenu chenu ulisikia wapi?Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho.
Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao.
Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu zao oooh nisaidie laki nimeishiwa mara oooh nipe nauli niwahi kibaruani.
Enyi wanaume ni nani aliyewaroga?
Mimi hela yangu siwez kumpa mwanaume labda nikukopeshe na riba juuEeh na wewe si utafute zako
Yaan Kila siku mnaomba omb hela tu alafu zenu wachoyo kinoma "et mm cwezi kumpa mwanaume hela" eeh na sisi msitegemee za kwetu omba omba nyie kasoro bakuli tu
Ah aah Alf mm yang nikupe tu ulnsaidia kubeba zege auMimi hela yangu siwez kumpa mwanaume labda nikukopeshe na riba juu
Na jicho atakula mpaka lipate kengezaWakunisaidia atafaa🥰
Kazi ni Kwako na si Kazini Kwako.Wakunisaidia atafaa🥰
Au sio kwa kitu gan Cha muhim mnachotupatia tofaut na matunduMnatakiwa mtutunze vyema