Wanaume wabinafsi

Wanaume wabinafsi

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho.

Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao.

Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu zao oooh nisaidie laki nimeishiwa mara oooh nipe nauli niwahi kibaruani.

Enyi wanaume ni nani aliyewaroga?
 
Wamejiroga wenyewe 😂
 
Ma Mshuza unapewa zawadi gani kutusema Baba zako kila siku?

Afu we ni Jike kweli au ndiyo sintofahamu....[emoji848][emoji2960]
 
Wanapenda kusaidiwa ila hawapo tayari kusaidia wapenzi wao, ni wachoyo, wana roho za korosho.

Wakipata hela wanaenda club kukesha na wanaume wenzao wakinunuliana vinywaji adimu vya bei mbaya huku wanamewatelekeza wapenzi wao.

Wakirudi home hawana hata buku, kisha wanaanza kulialia kwa mademu zao oooh nisaidie laki nimeishiwa mara oooh nipe nauli niwahi kibaruani.

Enyi wanaume ni nani aliyewaroga?
Eeh na wewe si utafute zako
Yaan Kila siku mnaomba omb hela tu alafu zenu wachoyo kinoma "et mm cwezi kumpa mwanaume hela" eeh na sisi msitegemee za kwetu omba omba nyie kasoro bakuli tu
 
Nyie ndo kiboko hamfai, chetu chenu, chenu chenu ulisikia wapi?
 
Eeh na wewe si utafute zako
Yaan Kila siku mnaomba omb hela tu alafu zenu wachoyo kinoma "et mm cwezi kumpa mwanaume hela" eeh na sisi msitegemee za kwetu omba omba nyie kasoro bakuli tu
Mimi hela yangu siwez kumpa mwanaume labda nikukopeshe na riba juu
 
Tozo za miamala, ya kutolea, usafiri, kodi za pango, lodge, bills za batani, vocha n.k. na bado unaona wanaume ni wabinafsi..? Una mawili, mtafute anaekusaidia au utafute wa kukusaidia.
 
I am Gily, super villain na sinywi kabisa kilevi chochote. Vipi jimbo liko wazi? au bado linamilikiw na mlevi?
hqdefault (2).jpg
 
Back
Top Bottom