Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

Hapana kwenye boxer hapo sahihi mwanaume lazima uwe nazo mingi kidogo, mfn mimi kila siku navaa boxer ake sabu nko nazo 7 hivyo naepuka mambo ya kuvaa moja mpaka ina change rangi..
Mwingine huyu hapa
 
Mwanaume unaanzaje kupaka mafuta kwenye makalio yako, kwanza unapata picha gani ukianza kupaka mafuta kwenye makalio..
Unachokitafuta utakipata.
 
Mwanaume asie na kitambi unavaa shati mikono mirefu, sasa wewe unakitambi tafuta tishet oversize ujistiri, na uhakikishe unatafuta liquid ile ya kupaka puani kuondoa vinyweleo vya kwenye pua maana wengine unakuta matundu ya pua nywele zimeota hadi nje
Vinyweleo vya pua vimewekwa na Mungu kwa kazi maalumu then nivitoe haha

Mwanaume mashine ya ATM isome ukitoa ule mlio wa mashine praaaaaaa usome zaidi ya dakika moja kunuka kutakuwa perfume
 
Mimi ni mwanaume ,nakubali kabisa dada tulio wengi wetu ni wachafu na tunanukaaaa.Kuns jamaangu mmoja yani akija home,pale alipokaa akiondoka lazima nipukute nipige na airfresh.Jamani wanaume wenzangu tuweni wasafi;
Oga
Fua boxer
Kuwa na boxers 4-10
Ivae asubuhi, jioni fua vaa ingine
Nyoa wizarani huko paka limao
Kuwa na lotion ya kuupendezesha ngozi.
n.k

Mimi kwakweli ni msafi mpaka mademu huwa wanajishtukia.Demu mchafumchafu atanikimbia mwenyewe.
Mimi mwanaume msafi saana kama mwanamke hatuendani kabisa.
 
Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume

Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"

Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?

Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?

Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Pole mrembo, kwanini unapenda kuwachagua wachafuwachafu?
 
Shaver za Dorco buku mbili jero pis tano, dawa ya meno closeup au sensodyne, nivea dry fresh for men Deodorant, taulo zako mbili nywele kama umefuga unanunua shampoo ya grace buku tu, unakua unaziosha unatana zinakaa kwa mpangilio, ndevu unanyoa unaacha uchebe kidogo.

Jeans usivae ya kubana sana iwe one colour wala isiwe ya kuchanika magotini, na formsix yako au tishirt round, unaswaki asubuhi na usiku wakati wa kulala, unajifahidi unanunua mouthwash ya listerin buku nane.

Ukinyoa unayoa kwapani na nywele za chini, ukioga unapitisha sabuni kwenye tundu za pua , maana hua zinanuka, then pitisha sabuni katikati ya vidole vya miguu na usivae viatu bila miguu kukauka maana itanuka tu kausha vizuri na kitambaa ndio weka soks yako maridadi.

Vaa boksa walau siku mbili unafua, usiavae boksa za mpira tafuta cotton hata za yarison, deodorant unapaka kwapani, unakua na body spray yako ya blue for men huna haja ya perfume kama uwezo ndio huo, saa yako mkononi tayari uko smart.
Hapo kwenye boksa siku mbili ndo umeharibu mkuu!

Boksa ni siku moja tu cha kurudia labda ni trouser siyo boksa.
 
Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume

Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"

Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?

Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?

Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Ngoja waje
 
Kwanini wakati usafi ni muhimu?
Sijamaanisha mtu uwe mchafu, awe msafi , kuna neno "saana" pale . Maana anakua mtu kila muda wa kujingalia asiguswe na kitu chochote hata vumbi tuu...
 
Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume

Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"

Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?

Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?

Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Ukorof huooo
 
Hela zao wanapo kuhonga unapokea kwa mikono miwili na kwenda kununulia mkorogo na vijora!

Ukiishiwa tu, basi unakuja humu mbio mbio kuwasimanga! Mwanamke mbaya kabisa wewe.
 
Ukali wa pilipili ndio utamu wenyewe ndugu mleta Uzi..

Uliyosema yana ukweli lakini usafi ni muhimu kiafya.. sio tu kwa watu hata mazingira pia yanatakiwa yawe Safi...

Wanaume wapambanaji(kazi ngumu) huwa wasafi mara tu wanapomaliza kazi zao...otherwise tabia ya mtu ndio itachagua awe msafi au mchafu
 
Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume

Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"

Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?

Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?

Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Kwanza leo ndio nimejua kwamba kumbe matako huwa yanapakwa mafuta 😄😄
 
Mimi ni mwanaume ,nakubali kabisa dada tulio wengi wetu ni wachafu na tunanukaaaa.Kuns jamaangu mmoja yani akija home,pale alipokaa akiondoka lazima nipukute nipige na airfresh.Jamani wanaume wenzangu tuweni wasafi;
Oga
Fua boxer
Kuwa na boxers 4-10
Ivae asubuhi, jioni fua vaa ingine
Nyoa wizarani huko paka limao
Kuwa na lotion ya kuupendezesha ngozi.
n.k

Mimi kwakweli ni msafi mpaka mademu huwa wanajishtukia.Demu mchafumchafu atanikimbia mwenyewe.
Wewe ndio mchafu usituhusishe
 
K
Ila usiombe ukakutana na hutu tu madem usajiri no D tunajifanya tusafi nje ila ndani sasa ukikapiga doggy style harufu inayotoka uko pakuchu ni hatari mzee wng kwa hiyo sisi wa kiume tuna uafadhari japo wanapenda kusema tuna nuka pumbu
Kabisa mkuu vidada dada vingi ni vichafh na visenge.
 
Back
Top Bottom