Wanaume wachafu msiutumie uchafu wenu kama ndio uanaume

Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume

Unakuta mwanaume kakomaa matako yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta matako"

Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?

Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?

Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Beberu hanukii!!!!
 
Ukiwa JF ni kama kuolewa na mchawi, lazima ujifunze kupika nyama za watu!!!!!
 
Mwanaume asie na kitambi unavaa shati mikono mirefu, sasa wewe unakitambi tafuta tishet oversize ujistiri, na uhakikishe unatafuta liquid ile ya kupaka puani kuondoa vinyweleo vya kwenye pua maana wengine unakuta matundu ya pua nywele zimeota hadi nje
 
Wanawake nao wengine uchafu balaa, wananuka uchi ukimvua utahisi dagaa wameoza hawajui kutawaza ukimuinamisha utahisi umeinamia choo kabisa, kutawaza waliowengi ni mtihani maumbile yao yanataka atumie maji mengi sana atawaze kuelekea nyuma then amalizie mbele, wengine hata kuswaki hawajui hawajui kusafisha ulimi halafu wameshaswaki hakuna kuweka maji mdomoni na mswaki ili kuondoa shombo ya dawa ya meno unakuta ukimkiss ni whitedent tupu maskini ya mungu na vingereza kibao, muwakumbushe dada zenu juice ya nanasi wanywe mara kwa mara au wale nanasi inasaidia kuondoa harufu ya nyuchi zao,
 
Kama wanashindwa kujifukiza na karafuu basi wafanye hivo, wanaume hua tunavumilia mengi sana unaona kifaa nje ni mashine kumbe ni bomu kama mabonu mengine, unaingia nalo lodge linasubiri kulipuka tu, unalalaje bila kuswaki mwanamke hapana tunavumilia tu saa nyingine inabidi umset hata mchizi akupigie simu ili akunusuru na hilo balaa hata kama ulipanga ulale nae usiku mzima famililahi hela bora ipotee tu
 
Wanabaki wanaume nguvu hawana siku hizi, huyo mwanaume anatoa wapi nguvu kwa demu mchafu anaenuka wala hahamasishi hadi nguvu yenyewe inapotea njia
 
Unakutana na dem ooohh UTI inanisumbua wala haiishi unasingizia maumbile mara yako wazi, kumbe uchafu tu haujui kujitawaza unapotawaza kuelekea mbele lazima utaacha particles za kinyesi kwenye uke wako hapo ndio ligi huanzia yale mabaki ya kinyesi yakiungana na yale majimaji kwenye uke UTI hata uende uingereza utakutwa nayo milele sijui Dada zenu wakoje,
 
boxer 4-10, mzee huo si mtaji wa chinga kabisa?
Hapana kwenye boxer hapo sahihi mwanaume lazima uwe nazo mingi kidogo, mfn mimi kila siku navaa boxer ake sabu nko nazo 7 hivyo naepuka mambo ya kuvaa moja mpaka ina change rangi..
 
Ukiwa msafi hata boxer 2 au 3 zinatosha sana,ukivaa asubuhi jioni ukioga unafua unavaa nyingine,na kama uko single wakati wa usiku huvai,kesho yake unavaa nyingine n.k...
 
Wanawake nao wengine uchafu balaa, wananuka uchi ukimvua utahisi dagaa wameoza hawajui kutawaza ukimuinamisha utahisi umeinamia choo kabisa, kutawaza waliowengi ni mtihani maumbile yao yanataka atumie maji mengi sana atawaze kuelekea nyuma then amalizie mbele, wengine hata kuswaki hawajui hawajui kusafisha ulimi halafu wameshaswaki hakuna kuweka maji mdomoni na mswaki ili kuondoa shombo ya dawa ya meno unakuta ukimkiss ni whitedent tupu maskini ya mungu na vingereza kibao, muwakumbushe dada zenu juice ya nanasi wanywe mara kwa mara au wale nanasi inasaidia kuondoa harufu ya nyuchi zao,
Kama wanashindwa kujifukiza na karafuu basi wafanye hivo, wanaume hua tunavumilia mengi sana unaona kifaa nje ni mashine kumbe ni bomu kama mabonu mengine, unaingia nalo lodge linasubiri kulipuka tu, unalalaje bila kuswaki mwanamke hapana tunavumilia tu saa nyingine inabidi umset hata mchizi akupigie simu ili akunusuru na hilo balaa hata kama ulipanga ulale nae usiku mzima famililahi hela bora ipotee tu
Wanabaki wanaume nguvu hawana siku hizi, huyo mwanaume anatoa wapi nguvu kwa demu mchafu anaenuka wala hahamasishi hadi nguvu yenyewe inapotea njia
Unakutana na dem ooohh UTI inanisumbua wala haiishi unasingizia maumbile mara yako wazi, kumbe uchafu tu haujui kujitawaza unapotawaza kuelekea mbele lazima utaacha particles za kinyesi kwenye uke wako hapo ndio ligi huanzia yale mabaki ya kinyesi yakiungana na yale majimaji kwenye uke UTI hata uende uingereza utakutwa nayo milele sijui Dada zenu wakoje,
Duuh! 🙄🙄
 
Hapana kwenye boxer hapo sahihi mwanaume lazima uwe nazo mingi kidogo, mfn mimi kila siku navaa boxer ake sabu nko nazo 7 hivyo naepuka mambo ya kuvaa moja mpaka ina change rangi..

Acha ujinga wewe,mwanaume halisi anavaa boksa 1 hata kwa siku 7 halafu ikichafuka inatupwa chini ya uvungu wa kitanda,baada ya wiki 2 unaitoa huko chini ya kitanda unaivaa tena.

Yaani unaivaa non-stop mpk ukiiweka sakafuni inasimama yenyewe ikiimba kasimama peke yake kamuona mchumba wake.
 
Kwamba kuna wanaume wanafanya vitu kwa lengo la kuwafanya wanawake wavutiwe nao, na moja ya sifa ni pamoja na hivyo vitu ambavyo mnaita usafi?

Kumbe hata hawa wanaotoga pua na maskio wengi sio wanafanya kwa mapenzi yao wamesukumwa tu na interest zenu??

Now nimeanza kuelewa kwanini machoko wengi rafiki zao wakubwa ni wanawake
Usifananishe wanaume na wakiume, tunaongelea real men
 
Usafi sawa,, sasa usafi ni kupaka mafuta kwenye matako!?
Lakini dadangu ,wewe ulimwona wapi mwanaume mwenye upele matakoni?(kama ni wako atakuwa mgonjwa ,asisingizie mafuta- nendeni hospitali)
 
Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume

Unakuta mwanaume kakomaa matako yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta matako"

Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?

Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?

Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Tukiwa wqsafi mnasema tuko mayai
 
Wanawake nao wengine uchafu balaa, wananuka uchi ukimvua utahisi dagaa wameoza hawajui kutawaza ukimuinamisha utahisi umeinamia choo kabisa, kutawaza waliowengi ni mtihani maumbile yao yanataka atumie maji mengi sana atawaze kuelekea nyuma then amalizie mbele, wengine hata kuswaki hawajui hawajui kusafisha ulimi halafu wameshaswaki hakuna kuweka maji mdomoni na mswaki ili kuondoa shombo ya dawa ya meno unakuta ukimkiss ni whitedent tupu maskini ya mungu na vingereza kibao, muwakumbushe dada zenu juice ya nanasi wanywe mara kwa mara au wale nanasi inasaidia kuondoa harufu ya nyuchi zao,
Kumbe mnateseka sana,sasa kwanini hamuachi mkuu...?
 
Back
Top Bottom