Mwingine huyu hapaHapana kwenye boxer hapo sahihi mwanaume lazima uwe nazo mingi kidogo, mfn mimi kila siku navaa boxer ake sabu nko nazo 7 hivyo naepuka mambo ya kuvaa moja mpaka ina change rangi..
Vinyweleo vya pua vimewekwa na Mungu kwa kazi maalumu then nivitoe hahaMwanaume asie na kitambi unavaa shati mikono mirefu, sasa wewe unakitambi tafuta tishet oversize ujistiri, na uhakikishe unatafuta liquid ile ya kupaka puani kuondoa vinyweleo vya kwenye pua maana wengine unakuta matundu ya pua nywele zimeota hadi nje
Mimi mwanaume msafi saana kama mwanamke hatuendani kabisa.Mimi ni mwanaume ,nakubali kabisa dada tulio wengi wetu ni wachafu na tunanukaaaa.Kuns jamaangu mmoja yani akija home,pale alipokaa akiondoka lazima nipukute nipige na airfresh.Jamani wanaume wenzangu tuweni wasafi;
Oga
Fua boxer
Kuwa na boxers 4-10
Ivae asubuhi, jioni fua vaa ingine
Nyoa wizarani huko paka limao
Kuwa na lotion ya kuupendezesha ngozi.
n.k
Mimi kwakweli ni msafi mpaka mademu huwa wanajishtukia.Demu mchafumchafu atanikimbia mwenyewe.
Pole mrembo, kwanini unapenda kuwachagua wachafuwachafu?Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume
Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"
Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?
Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?
Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Boxers zote hizo za nini asee. ? Kuna watu wanajipa shida zisizo na msingi wowote...boxer 4-10, mzee huo si mtaji wa chinga kabisa?
Hapo kwenye boksa siku mbili ndo umeharibu mkuu!Shaver za Dorco buku mbili jero pis tano, dawa ya meno closeup au sensodyne, nivea dry fresh for men Deodorant, taulo zako mbili nywele kama umefuga unanunua shampoo ya grace buku tu, unakua unaziosha unatana zinakaa kwa mpangilio, ndevu unanyoa unaacha uchebe kidogo.
Jeans usivae ya kubana sana iwe one colour wala isiwe ya kuchanika magotini, na formsix yako au tishirt round, unaswaki asubuhi na usiku wakati wa kulala, unajifahidi unanunua mouthwash ya listerin buku nane.
Ukinyoa unayoa kwapani na nywele za chini, ukioga unapitisha sabuni kwenye tundu za pua , maana hua zinanuka, then pitisha sabuni katikati ya vidole vya miguu na usivae viatu bila miguu kukauka maana itanuka tu kausha vizuri na kitambaa ndio weka soks yako maridadi.
Vaa boksa walau siku mbili unafua, usiavae boksa za mpira tafuta cotton hata za yarison, deodorant unapaka kwapani, unakua na body spray yako ya blue for men huna haja ya perfume kama uwezo ndio huo, saa yako mkononi tayari uko smart.
Kwanini wakati usafi ni muhimu?Mimi mwanaume msafi saana kama mwanamke hatuendani kabisa.
Boxer mbili au tatu zina toshaBoxers zote hizo za nini asee. ? Kuna watu wanajipa shida zisizo na msingi wowote...
Kabisa aseeBoxer mbili au tatu zina tosha
Ngoja wajeKumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume
Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"
Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?
Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?
Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Sijamaanisha mtu uwe mchafu, awe msafi , kuna neno "saana" pale . Maana anakua mtu kila muda wa kujingalia asiguswe na kitu chochote hata vumbi tuu...Kwanini wakati usafi ni muhimu?
Ukorof huoooKumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume
Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"
Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?
Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?
Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Hela zao wanapo kuhonga unapokea kwa mikono miwili na kwenda kununulia mkorogo na vijora!Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume
Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"
Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?
Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?
Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Kwanza leo ndio nimejua kwamba kumbe matako huwa yanapakwa mafuta 😄😄Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume
Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"
Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?
Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?
Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
Wewe ndio mchafu usituhusisheMimi ni mwanaume ,nakubali kabisa dada tulio wengi wetu ni wachafu na tunanukaaaa.Kuns jamaangu mmoja yani akija home,pale alipokaa akiondoka lazima nipukute nipige na airfresh.Jamani wanaume wenzangu tuweni wasafi;
Oga
Fua boxer
Kuwa na boxers 4-10
Ivae asubuhi, jioni fua vaa ingine
Nyoa wizarani huko paka limao
Kuwa na lotion ya kuupendezesha ngozi.
n.k
Mimi kwakweli ni msafi mpaka mademu huwa wanajishtukia.Demu mchafumchafu atanikimbia mwenyewe.
Kabisa mkuu vidada dada vingi ni vichafh na visenge.Ila usiombe ukakutana na hutu tu madem usajiri no D tunajifanya tusafi nje ila ndani sasa ukikapiga doggy style harufu inayotoka uko pakuchu ni hatari mzee wng kwa hiyo sisi wa kiume tuna uafadhari japo wanapenda kusema tuna nuka pumbu