Hapo kwenye boksa siku mbili ndo umeharibu mkuu!
Boksa ni siku moja tu cha kurudia labda ni trouser siyo boksa.
Wanaume wachafu sana kuliko wote ni wale wanaotembea na kila mwanamke anayekutana naye.Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume
Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta, harafu utasikia anasema "mwanaume hapaki mafuta makalio"
Imekuwa hivyo hivyo kwa hawa wanaotembea kwa miguu wakiwa wamevaa sendo unakuta miguu imechakaa vumbu harafu utasikia "mwanaume unavaaje soksi"?
Nani aliwaambia wanaume msiwe mnanyoa nywele za kwapani?
Jamani eeeh! Usafi hauchagui mwanaume wala mwanamke usafi ni kwa wote
kwahiyo hata smart wako ni mgumu??Huo muda wanao sasa!!!!!!!!!