Wanaume waheshimiwe milele

Lakini sio wanaume wa Darisalama
 
Ndoa yangu iko poa sana lakini kumbuka ya jamii nayaona.sio kwa sababu kwangu kuko vizuri basi kwa wengine kuko vizuri pia.nawaona RFK zangu wanavyohangaika na ndio mana nacomment hivyo.tunajifunza kutokana na maisha mabalimbali katika jamii inayotuzunguka
 
Yaan kama umelitambua hilo toka moyon Mungu akubariki,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…