Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rnaona bora kusimama katika ukwel kuliko kuficha moyoni. Hyjaijua kesho we omba uzmabUkishaanza kuniambia upuuz heshima niliyokuwa nakuheshimu inapunguaa...
Nilikuwa nakuheshimu ila now hapana...
Tena bila pesa hata orgasm sipati hata ukeshe, yaani cha kwanza pesa,cha pili pesa,cha tatu pesa, cha nne pesaaaaaa.......
Sasa nikusifie hivi hivi wakati hujanipa pesa!! Nakusifia kwa lipi kwamfano?
Duu pole sana...
Wanaume sio wachoyo wala bahili ila ni wew hujui jinsi ya kuwachomoa pesa...kumwomba mwanaume pesa awe mchepuko au awe mume wako lazma utumie akili sana... wengi hupenda kuambiwa naomba shiling flan kwa ajili ya kufanyia jambo flan..,ila wengi wetu hupenda kusema tuu "wew nipe hela mimi najua nitafanyia nini"
....mwanaume anakuwa msiri kwako kutokana na wew mwenyewe ulivyo...kwa mfano kuna wanawake wakijua mwanaume kapata hela ataanza ooohh mama yangu anaumwa oooh kuna dera linauzwa mahali badala ya kuwaza hii hela tuanze ujenzi au kufungulia biashara...sasa mwanaume akiona una hizo element hawezi kukushirikisha...
....kuhusu kuchati pia wew unaweza ukawa chanzo cha yeye kutokupenda kuchat na wew...kwa mfano kuna dada mmoja mume wake akijiunga tuu ni kosa kwa nini anajiunga anachat na nani...sasa mwanaume akijua hivyo anafanya kimya kimya usijue...
.....kuhusu kutumia muda mara nyingi kufurahi na marafik tofauti na nyumban kuna sababu... baadhi ya sisi wanawake ni kero sana kwa waume zetu hadi wakiwaza kuja nyumbani wanaumwa kichwa...
Mwanaume ni kama mtoto anahitqji malezi bora mapezi ya ukweli hakika hawezi kukukinai maana mwanaume anayekufanyia hayo hapo juu ni wazi ushamchosha na kukukinai
Hongera....u're so unique woman... Coz kwa nature ya wanawake ni wachache sana ambao wanaweza kufikilia beyond this scope..
HAHAHAHAA U MADE MY DAYNaona kama you had a really good sex last night......
thanks to him umeamka unatuona wote 'supermen'
Kuna nini mkuu?Cute b naomba uniPM..
Do you mean our teenage cute b?lazma utakua under 21
Hilo ni lazima mlifanye. Ila niliyoyaandika ni ya hiariKuna kitu umetubania, mbona hujazungumzia jinsi tunavyowapa dyudyu vizuri?
We mwache tuu ananichukulia poaDo you mean our teenage cute b?
Nakuomba pm tafadhali cute bMungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...
Wanaume wana roho nzurii jamani....
Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...
...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)
WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.
EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.
Hapana sio mmekumbukwa tu,nyie ni sehemu ya maisha yetu,na ni kwa wanawake wachache wenxe hekima na iman ndo wanalijua.Amen(tumekumbukwa leo)