Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Teh teh..Not in a bad way tho..
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! Hizo sifa sijawah kukutana na mwanaume anazo nahs unawafagilia,, ninao wafaham weng wao
wachoyo / bahir wa pesa ndan ya nyumba ila marafiki na michepuko hupewa bila hata kusugua mdomo kwa kuomba,.
Wasiri wa maendeleo ya ndani ila marafiki wanajua kila atakacho kukifanya,,.
Watachat kote fb, twt, jf, watsp n.k ila wfe hatomkumbuka kwa chatng akiguswa anadai msg zimeisha, vocha hana au am busy.
Wanajua kutumia mda mwing na marafiki kwa kufurah ila akiingia ndan ni siriaz hawataki stori.
Na mengineyo meng sa sijui we hao uwasifiao ni type ya mchepuko.
It's either you had a bang last night, or someone is about to get manipulated today....
Mie natoa sifa panapostahili sifa, sitoi toi tu sifa ilimradi sifa, Kaboom nitamsifia pale safari ya dubai itapotimia, kwa sasa walaa.
Hivi hao wanaume ulowasifia ni wanaume wepi labda?? Kuna vimeo hataa havistahili hizo sifa kwakweli.
Mh! Hizo sifa sijawah kukutana na mwanaume anazo nahs unawafagilia,, ninao wafaham weng wao
wachoyo / bahir wa pesa ndan ya nyumba ila marafiki na michepuko hupewa bila hata kusugua mdomo kwa kuomba,.
Wasiri wa maendeleo ya ndani ila marafiki wanajua kila atakacho kukifanya,,.
Watachat kote fb, twt, jf, watsp n.k ila wfe hatomkumbuka kwa chatng akiguswa anadai msg zimeisha, vocha hana au am busy.
Wanajua kutumia mda mwing na marafiki kwa kufurah ila akiingia ndan ni siriaz hawataki stori.
Na mengineyo meng sa sijui we hao uwasifiao ni type ya mchepuko.
na anapata akili ya kupata pesa zaidi
Teh teh..Not in a bad way tho..
Uwiiiii kuna mtu lazima ashaibiwa au ajiandae kuibiwa haki vile.
Mie natoa sifa panapostahili sifa, sitoi toi tu sifa ilimradi sifa, Kaboom nitamsifia pale safari ya dubai itapotimia, kwa sasa walaa.
Hivi hao wanaume ulowasifia ni wanaume wepi labda?? Kuna vimeo hataa havistahili hizo sifa kwakweli.
Mh! Hizo sifa sijawah kukutana na mwanaume anazo nahs unawafagilia,, ninao wafaham weng wao
wachoyo / bahir wa pesa ndan ya nyumba ila marafiki na michepuko hupewa bila hata kusugua mdomo kwa kuomba,.
Wasiri wa maendeleo ya ndani ila marafiki wanajua kila atakacho kukifanya,,.
Watachat kote fb, twt, jf, watsp n.k ila wfe hatomkumbuka kwa chatng akiguswa anadai msg zimeisha, vocha hana au am busy.
Wanajua kutumia mda mwing na marafiki kwa kufurah ila akiingia ndan ni siriaz hawataki stori.
Na mengineyo meng sa sijui we hao uwasifiao ni type ya mchepuko.
navyoipenda pesa sijui aliyeniloga nani? ila namshukuru mchawi wangu lohHahahaaa shost hapo kwenye pesa unavyopapenda yewomiiiiiiii
napita tuu