Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
Duu pole sana...
Wanaume sio wachoyo wala bahili ila ni wew hujui jinsi ya kuwachomoa pesa...kumwomba mwanaume pesa awe mchepuko au awe mume wako lazma utumie akili sana... wengi hupenda kuambiwa naomba shiling flan kwa ajili ya kufanyia jambo flan..,ila wengi wetu hupenda kusema tuu "wew nipe hela mimi najua nitafanyia nini"
....mwanaume anakuwa msiri kwako kutokana na wew mwenyewe ulivyo...kwa mfano kuna wanawake wakijua mwanaume kapata hela ataanza ooohh mama yangu anaumwa oooh kuna dera linauzwa mahali badala ya kuwaza hii hela tuanze ujenzi au kufungulia biashara...sasa mwanaume akiona una hizo element hawezi kukushirikisha...
....kuhusu kuchati pia wew unaweza ukawa chanzo cha yeye kutokupenda kuchat na wew...kwa mfano kuna dada mmoja mume wake akijiunga tuu ni kosa kwa nini anajiunga anachat na nani...sasa mwanaume akijua hivyo anafanya kimya kimya usijue...
.....kuhusu kutumia muda mara nyingi kufurahi na marafik tofauti na nyumban kuna sababu... baadhi ya sisi wanawake ni kero sana kwa waume zetu hadi wakiwaza kuja nyumbani wanaumwa kichwa...
Mwanaume ni kama mtoto anahitqji malezi bora mapezi ya ukweli hakika hawezi kukukinai maana mwanaume anayekufanyia hayo hapo juu ni wazi ushamchosha na kukukinai
unaonekana mzoefu sana wa kuwachomoa, ndo maana nilikushindwa we mwanamke