Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,592
Amen..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! Hizo sifa sijawah kukutana na mwanaume anazo nahs unawafagilia,, ninao wafaham weng wao
wachoyo / bahir wa pesa ndan ya nyumba ila marafiki na michepuko hupewa bila hata kusugua mdomo kwa kuomba,.
Wasiri wa maendeleo ya ndani ila marafiki wanajua kila atakacho kukifanya,,.
Watachat kote fb, twt, jf, watsp n.k ila wfe hatomkumbuka kwa chatng akiguswa anadai msg zimeisha, vocha hana au am busy.
Wanajua kutumia mda mwing na marafiki kwa kufurah ila akiingia ndan ni siriaz hawataki stori.
Na mengineyo meng sa sijui we hao uwasifiao ni type ya mchepuko.
Duu pole sana...
Wanaume sio wachoyo wala bahili ila ni wew hujui jinsi ya kuwachomoa pesa...kumwomba mwanaume pesa awe mchepuko au awe mume wako lazma utumie akili sana... wengi hupenda kuambiwa naomba shiling flan kwa ajili ya kufanyia jambo flan..,ila wengi wetu hupenda kusema tuu "wew nipe hela mimi najua nitafanyia nini"
....mwanaume anakuwa msiri kwako kutokana na wew mwenyewe ulivyo...kwa mfano kuna wanawake wakijua mwanaume kapata hela ataanza ooohh mama yangu anaumwa oooh kuna dera linauzwa mahali badala ya kuwaza hii hela tuanze ujenzi au kufungulia biashara...sasa mwanaume akiona una hizo element hawezi kukushirikisha...
....kuhusu kuchati pia wew unaweza ukawa chanzo cha yeye kutokupenda kuchat na wew...kwa mfano kuna dada mmoja mume wake akijiunga tuu ni kosa kwa nini anajiunga anachat na nani...sasa mwanaume akijua hivyo anafanya kimya kimya usijue...
.....kuhusu kutumia muda mara nyingi kufurahi na marafik tofauti na nyumban kuna sababu... baadhi ya sisi wanawake ni kero sana kwa waume zetu hadi wakiwaza kuja nyumbani wanaumwa kichwa...
Mwanaume ni kama mtoto anahitqji malezi bora mapezi ya ukweli hakika hawezi kukukinai maana mwanaume anayekufanyia hayo hapo juu ni wazi ushamchosha na kukukinai
Mie nilikuwa nakusubiri uje my lovely kaka nikupe sifa zako, siwezi kupoteza sifa zangu aisee, kuna ambao hawazistahili kabisaaaa!!
Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...
Wanaume wana roho nzurii jamani....
Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...
...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)
WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.
EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.
Teh teh. sumbai jiandae mzinga bab kubwa..Hizi sifa hazitolewi bure tu
Mh! Hizo sifa sijawah kukutana na mwanaume anazo nahs unawafagilia,, ninao wafaham weng wao
wachoyo / bahir wa pesa ndan ya nyumba ila marafiki na michepuko hupewa bila hata kusugua mdomo kwa kuomba,.
Wasiri wa maendeleo ya ndani ila marafiki wanajua kila atakacho kukifanya,,.
Watachat kote fb, twt, jf, watsp n.k ila wfe hatomkumbuka kwa chatng akiguswa anadai msg zimeisha, vocha hana au am busy.
Wanajua kutumia mda mwing na marafiki kwa kufurah ila akiingia ndan ni siriaz hawataki stori.
Na mengineyo meng sa sijui we hao uwasifiao ni type ya mchepuko.
Yani wewe unajidanganya hizi ni sifa? hii ni robbery bila silaha kutumika.Mungu akubariki mrembo kwa kutukumbuka wanaume ambao tunasitahili sifa hizo.....wanaume wenye sifa hizo tupo wachache sana.
Ha ha haa wew hukunishindwa sema hukunipenda...
Mimi nikiwa na mtu hajutii yaani anafanya mambo ya maana sana..muulize hata sumbai hela zake ila alikuwa hajui kuzipangilia nimemfundisha kuzipangilia now utazani baresa mdogo
Duu pole sana...
Wanaume sio wachoyo wala bahili ila ni wew hujui jinsi ya kuwachomoa pesa...kumwomba mwanaume pesa awe mchepuko au awe mume wako lazma utumie akili sana... wengi hupenda kuambiwa naomba shiling flan kwa ajili ya kufanyia jambo flan..,ila wengi wetu hupenda kusema tuu "wew nipe hela mimi najua nitafanyia nini"
....mwanaume anakuwa msiri kwako kutokana na wew mwenyewe ulivyo...kwa mfano kuna wanawake wakijua mwanaume kapata hela ataanza ooohh mama yangu anaumwa oooh kuna dera linauzwa mahali badala ya kuwaza hii hela tuanze ujenzi au kufungulia biashara...sasa mwanaume akiona una hizo element hawezi kukushirikisha...
....kuhusu kuchati pia wew unaweza ukawa chanzo cha yeye kutokupenda kuchat na wew...kwa mfano kuna dada mmoja mume wake akijiunga tuu ni kosa kwa nini anajiunga anachat na nani...sasa mwanaume akijua hivyo anafanya kimya kimya usijue...
.....kuhusu kutumia muda mara nyingi kufurahi na marafik tofauti na nyumban kuna sababu... baadhi ya sisi wanawake ni kero sana kwa waume zetu hadi wakiwaza kuja nyumbani wanaumwa kichwa...
Mwanaume ni kama mtoto anahitqji malezi bora mapezi ya ukweli hakika hawezi kukukinai maana mwanaume anayekufanyia hayo hapo juu ni wazi ushamchosha na kukukinai
Namwelewa huyo kipaumbele chake cha kwanza
Pesa
Pesa
Pesa.
Hata ufanye wema kiasi gani bila kumpa pesa unajisumbua
Naomba kuja attachment/field/internship kwako!??
Ahsante umenifanya nijisikie fahari,eeh muwe mnashukuru siku moja moja kama hiviMungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...
Wanaume wana roho nzurii jamani....
Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...
...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)
WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.
EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.
It's either you had a bang last night, or someone is about to get manipulated today....
na waongezewe kipato ila na huku tuongezewe pesa
We sifia tu lakini pesa hupati....hahaha! Si unajua origin yangu lakini. Mwenzako kasifia kwa vile jana kapewa vitu adimu..Alafu si nimesahau kukusifia mchawi wangu, sijui hata nikusifie kwa lipi!! Ngoja nikumbuke.