Wanaume waheshimiwe milele

Kiongozi mito hakika umesema kweli kabisa. Siwezi kuongeza zaidi... atoto ni mbishi funga kazi!!! Lakini pia experience ya bf/gf ni tofauti sana na ndoa!!!

I learned from the best, si unajua ukikaa karibu na waridi lazima unukie.
 
Last edited by a moderator:
Unaposema "Season" unamaanisha "series" au majira ya mwaka??? Im confused.
 
Kiongozi mito hakika umesema kweli kabisa. Siwezi kuongeza zaidi... atoto ni mbishi funga kazi!!! Lakini pia experience ya bf/gf ni tofauti sana na ndoa!!!

Mbishi kama nini yanim, ukimwambia hivyo (hapo kwa red) anakujibu alishaolewa mara nyingi tu, teh teh!! Huyu sista hata mi mwenyewe nimemshindwa kwa kweli
 
Hili nalo neno
 
Mbishi kama nini yanim, ukimwambia hivyo (hapo kwa red) anakujibu alishaolewa mara nyingi tu, teh teh!! Huyu sista hata mi mwenyewe nimemshindwa kwa kweli

Jamani my kaka ukinishindwa wewe unadhani nani ataniweza?
 
Teh teh teh........ hizo ni sifa za g/friend au mchepuko lkn sio wife.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…