- Thread starter
- #481
Ahaa kwahiyo ulikuwa unafanya upelelezi kwanza siyo?Nakufukuzia[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa kwahiyo ulikuwa unafanya upelelezi kwanza siyo?Nakufukuzia[emoji1787][emoji1787]
Ahaa kwahiyo ulikuwa unafanya upelelezi kwanza siyo?
Sawa mkuu.Napima kina cha maji kwanza kabla sijaingiza mguu.
Umesema kweli mkuuMungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...
Wanaume wana roho nzurii jamani....
Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...
...Ukipanda kwenye daladala ukikosa siti anaweza kukupisha na wewe uketi...
.....Mwanaume ukiwa na shida ukimfuata ni rahisi sana kukusaidia.....
......Mkiwa kwenye hatari hawezi kukimbia akakuacha lazima ahakikishe mnachomoka wote mkiwa salama....
......Wana maneno ya busara kwa mfano mahospital ukikutana na docta wa kiume unaweza ukapona hata kabla hujaanza doz...
.....Vita ikitokea hao ndio wanaokwenda kupigana vita ili familia zao ziwe salama....
....Ukipendeza ni wa kwanza kukupa ukweli (hata kama ni uongo) kwa kweli hawabanii sifa....
....Ukitamani mali yake yoyote ni mfano simu, laptop,saa na vingine vingi ni rahisi kukupa na kukuachia mojakwa...
....Jamani wanaume acheni waitwe wanaume tuu wanatuhifandi sana mjini...wanatufichia aibu mjini kwa kutupa hela zao tunavaa tunapendeza huku hao wakiungua na jua...
....Bado kwa upendo walionao juu yetu sisi wanawake wanatupa kuitwa kwa majina yao bure kabisa.... kwa mfano mimi cute b nitaitwa mrs sumbai (maana ndio heshima ya mwanamke yoyote yule)
WANAUME NI WA KUHESHIMIWA JAMANI NI WATU MUHIMU SANA KWETU SISI WANAWAKE.
EE MUNGU NAKUOMBA UWAPE MAISHA MAREFU WANAUME WOTE DUNIANI.
Mkatusemee tuandaliwe siku yetuMungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...

Mbona mimi sipo hivyo.Mh! Hizo sifa sijawah kukutana na mwanaume anazo nahs unawafagilia,, ninao wafaham weng wao
wachoyo / bahir wa pesa ndan ya nyumba ila marafiki na michepuko hupewa bila hata kusugua mdomo kwa kuomba,.
Wasiri wa maendeleo ya ndani ila marafiki wanajua kila atakacho kukifanya,,.
Watachat kote fb, twt, jf, watsp n.k ila wfe hatomkumbuka kwa chatng akiguswa anadai msg zimeisha, vocha hana au am busy.
Wanajua kutumia mda mwing na marafiki kwa kufurah ila akiingia ndan ni siriaz hawataki stori.
Na mengineyo meng sa sijui we hao uwasifiao ni type ya mchepuko.
HakikaUbarikiwe sana cute b kwa kutuombea wanaume wote wenye roho nzuri maisha marefu na mimi nawaombea wanawake wote wenye roho nzuri maisha marefu na mafanikio mema.
Huyo wako Sio wote, nke wangu huwa anasema anashukuru kuolewa na Mimi🤣🤣🤣🤣Mh! Hizo sifa sijawah kukutana na mwanaume anazo nahs unawafagilia,, ninao wafaham weng wao