Wanaume wahuni na mapenzi

Wanaume wahuni na mapenzi

Unajua nini Fidel!! ukweli unabaki pale pale ya kwamba haya mambo yanahitaji experience ili uweze kuyafaidi vizuri, ukiangalia akina dada wote wanaotajwa wanayaweza mambo utakuta wameanza hayo mambo mapema sana, sijui wakitanga, wamakonde, warangi na hata wazaramo...wote wanafunzwa mambo ya mahusiano wakiwa wadogo sana,na wanaanza hii michezo na miaka 8 mpaka 10, wakijafikisha miaka 20, ndio mtu anaambiwa chungulia dirishani kuna nini nje huku mambo yanaendelea, ukija kwa kwa dada zangu wa Moshi ambao maadili yako mbele, mapenzi wanaanza wakiwa na miaka 20 na kuendelea wanaambiwa ni washamba. hata mimba za utotoni nyingi utasikia kwa wanawake wa kitanga, wamakonde, warangi, wazaramo, wamakua nk.
kwa hiyo swali la kwanza na la pili yote ni ukweli mtupu, na sababu ni uzoefu wa muda mrefu unamfanye mtu awe mbunifu.

That statement is very misleading, nimeishi moshi na sidhani kama unayosema ni ya kweli, please be clear!!
 
That statement is very misleading, nimeishi moshi na sidhani kama unayosema ni ya kweli, please be clear!!

MTM!! hiyo statement nina uhakika nayo kwa zaidi ya asilimia 95%, kwasababu mimi mwenyewe nimezaliwa Moshi nimekulia huko, na bado naenda kutembea huko mara kwa mara. maadili ya dini kwenye huu mkoa yapo juu sana, hicho kinawafanya wazawa wengi wa kule wachelewe kujiingiza katika mambo ya mahusiano, kafanye investigation ya wanafunzi wanaokatiza masomo kwa kupata mimba shuleni katika mikoa ya Tanzania, utagundua hili tatizo halipo sana huko mkoani kilimanjaro.
Nawakilisha kaka!! Kaka Geoff nisaidie data, au mpaka nikutafute kwa mtitu au Bufallo ndio uniambie?
 
hilo la kwanza ni kweli, maana hata mimi nime-prove .

hilo la pili sina uhakika nalo sana.
 
hilo la kwanza ni kweli, maana hata mimi nime-prove .

hilo la pili sina uhakika nalo sana.

Sadly nimefanya kazi huruma mission hospital na kibosho na kuona yanayoonwa, nikapata bahati ya supportive supervision machame lutheran hospital. Pia nikafanya kazi arusha, iringa na dodoma plus manyara... sipendi unafiki na kujikweza.... kibaya zaidi matendo ya uingilianaji kinyume na maumbile na watoto wa kike kutembea na baba zao yanaongoza mkoa wa kilimanjaro!!!

When we discuss issues, lets be fair, na si kudharau ukidhani mchagga yuko bora!!!!

Lets visit europe and count pros in the business

Duh..... BAhati mbaya sana nimetukana mabibi wa kichagga..
 
Na wewe nae sometimes sijui unatoaga wapi hao mabibi zako, sidhani kama warangi ni wachovu hivyo labda hao niliokula mie wamenidanganya kabila? Hivi umesahau hakuna wanawake laini kula kama wa kutoka Tanga?? tena wao hawajui hata ni tundu gani unaweka?

Kweli kipendacho roho hula uozo

Bana embu wacha bana!
 
mambo ya imani haya.................kama umesikia na wewe unasemaje kuhusu hilo?
 
Hehehehe mfano mzuri Pedeshee anavyo wapanga manao jiita masuper star wa Bongo na wao wanajijua lakini wanagombania nafasi kwa Pedeshee.
 
Hehehehe mfano mzuri Pedeshee anavyo wapanga manao jiita masuper star wa Bongo na wao wanajijua lakini wanagombania nafasi kwa Pedeshee.
Ndio yale yale yale niliyoyasema kwenye CPA wadada wakibongo kwa sasa wanapenda sana "Cash Person Aside". Wote wanataka kuendesha magari mazuri na mekundu, wote wanataka kuwa na nguo za kubadilisha za gharama daily, wote wanapenda kupigana vikumbo Mlimani City nyakati za jioni na wakati wa weekend. Ndio sababu ya kufumba macho na kuendelea kupigania nafasi kumbe ndio wanpigania kaburi lenye shanga
 
Last edited:
labda hao niliokula mie wamenidanganya kabila? Hivi umesahau hakuna wanawake laini kula kama wa kutoka Tanga?? tena wao hawajui hata ni tundu gani unaweka?
Kweli nimekubali sasa Mkuu signature yako "ON MY WAY TO MATURITY" inamaanisha nini haswaa!!
 
2. Ukiwa na kimada wa Kimakonde au Kirangi lazima utaitelekeza familia tu jinsi utakavyopewa mavituz!
Na madada wa KIMWELA kaka wa mkoa wa Lindi hasa hapo Nachingwea umewasahahu wanatisha, yaani ukiwaguswa wana-vibrate kama nini
 
Na madada wa KIMWELA kaka wa mkoa wa Lindi hasa hapo Nachingwea umewasahahu wanatisha, yaani ukiwaguswa wana-vibrate kama nini
Watu mna experience za kutisha, makabila yote mmepita!
 
Mpwa, taratibu, shemeji atakuacha...by the way inategemea tu na mtu mwenyewe, sina experience mei
 
Wamakonde nawakubali wamo lakini warangi wachovu hawana kitu ingawa wamejariwa weupe ndio kuna weusi hata sura pia wameumbika tatizo ni maharage ya Mbeya.
Kuhusu wanaume wanao chapa sana hiyo kweli maana kitaa kuna baba amechapa wake za watu mtaa mzima na wanajipeleka wenyewe anatembea na K-Y mfukoni wanadai iwa anajiexpress sasa si unajua wanawake wakisha pewa vitu vitamu lazima akasimulie kwa ofisi au kwa shostnino wake yule baba ananipa raha sijawahi pata kwa Mr. basi na mwingine nae anajisogeza jamaa ana mega tu duh kuja kushtukia kamega mtaa mzima.

Fidel!! kuna maharage mengine ya Mbeya lakini mbegu ilichukuliwa iringa!!!hayaivi kirahisi namna hiyo!!!
 
nafikiri suala lako la kwanza jibu ni NDIO.

nafikiri kisaikolojia wanawake huwa wanapenda mwanamme anaonekana 'mwanamme kuliko wanaume wenziwe' au niseme kama wanyama wengine wanapenda Alpha male.

pili nafikiri wanwake wengi kutokana na ile motherly instinct wanafikiri namna ya kum 'tame' mwanamme..........and they feel like they can give more care kwa mtu muhuni kuliko decent........

hii nimeitazama zaidi ki hormones za kike....
 
{Unajua nini Fidel!! ukweli unabaki pale pale ya kwamba haya mambo yanahitaji experience ili uweze kuyafaidi vizuri, ukiangalia akina dada wote wanaotajwa wanayaweza mambo utakuta wameanza hayo mambo mapema sana, sijui wakitanga, wamakonde, warangi na hata wazaramo...wote wanafunzwa mambo ya mahusiano wakiwa wadogo sana,na wanaanza hii michezo na miaka 8 mpaka 10, wakijafikisha miaka 20, ndio mtu anaambiwa chungulia dirishani kuna nini nje huku mambo yanaendelea, ukija kwa kwa dada zangu wa Moshi ambao maadili yako mbele, mapenzi wanaanza wakiwa na miaka 20 na kuendelea wanaambiwa ni washamba. hata mimba za utotoni nyingi utasikia kwa wanawake wa kitanga, wamakonde, warangi, wazaramo, wamakua nk.
kwa hiyo swali la kwanza na la pili yote ni ukweli mtupu, na sababu ni uzoefu wa muda mrefu unamfanye mtu awe mbunifu.
}

Kiukweli mchangiaji hapo juu amewasingizia warangi,kwa hivi sasa hakuna kabila ambalo si wahuni,ila hayo ni malezi na maadili ya kwao kifamilia.Hata kama mtu ni mzuri vipi si lazima awe mhuni,mimi nina ushahidi wa kutosha wapo watu nimeishi nao na ni makabila hayo hayo mfano wazaramo na warangi wana maadili mazuri na kujiheshimu huwezi amini kama ni wazaramo.

Kwahiyo siungi mkonoo hoja.
 
Kufanya mapenzi ni kama fani nyingine tu ya michezo,
Huwezi kucheza na partner hasiyejua mchezo then mchezo ukanoga. Sasa wale wahuni uonekana wanajua kutokana na muonekano na kujiexpress kwao, na aibu huwa hwana sana.
Wenzangu na mie madisent, wapole, watulivu unaonekana hujui kitu.
 
Back
Top Bottom