TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Unajua nini Fidel!! ukweli unabaki pale pale ya kwamba haya mambo yanahitaji experience ili uweze kuyafaidi vizuri, ukiangalia akina dada wote wanaotajwa wanayaweza mambo utakuta wameanza hayo mambo mapema sana, sijui wakitanga, wamakonde, warangi na hata wazaramo...wote wanafunzwa mambo ya mahusiano wakiwa wadogo sana,na wanaanza hii michezo na miaka 8 mpaka 10, wakijafikisha miaka 20, ndio mtu anaambiwa chungulia dirishani kuna nini nje huku mambo yanaendelea, ukija kwa kwa dada zangu wa Moshi ambao maadili yako mbele, mapenzi wanaanza wakiwa na miaka 20 na kuendelea wanaambiwa ni washamba. hata mimba za utotoni nyingi utasikia kwa wanawake wa kitanga, wamakonde, warangi, wazaramo, wamakua nk.
kwa hiyo swali la kwanza na la pili yote ni ukweli mtupu, na sababu ni uzoefu wa muda mrefu unamfanye mtu awe mbunifu.
That statement is very misleading, nimeishi moshi na sidhani kama unayosema ni ya kweli, please be clear!!