Wanaume wakati mwingine mnataka tuwaroge

So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.

UPDATE 1
Imetimia mwezi na week mbili toka zoezi langu,nyumba ina amani sana,yani mwanaume ule ubabe na ukorofi hamna tena ni kama mtu mpya ni full mahaba,mkituona kama teens anyway nimefurahi angalau mambo ya maendeleo yameanza kufanyika,naambiwa kila kitu na access ya pesa ninayo full amani na furaha,nitaendelea kuwajuza hili sakata hadi mwisho.
Wale mnao nipopoa mbona wanaume wengi tu wametulizwa sioni ajabu kwangu
Utaloga ufe wewe haha
 
Safi sana. Mimi ni mwanamme lakini nakuunga mkono, loga! Si ajabu huyo mwanamme ndiye aliyenifanya niachane na ex wangu kwani alikuwa anaingia mpaka chumbani. 🤣 🤣
Kuna wanawake ukianza kumla lazima akuharibie mahudiano.
Kuna demu ilikuwa kila nikiwa naye lazima aache alama kuwa slikuwa nami.

Mara aache miwani.
Mara aache rasta kwa gari
Mara aache kipochi siti za nyuma.

Yaani wanawake wengine ukianza kuwa naye lazima akuharibie barabara kuu.
 
Wanaume tujiepushe na Wanawake washirikina kama mtoa mada

Ukimgundua hata kama umezaa naye watoto 4 mpe talaka
 
So sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.

Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.

Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].

Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.

Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.

Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.

Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.

Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.

Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.

UPDATE 1
Imetimia mwezi na week mbili toka zoezi langu,nyumba ina amani sana,yani mwanaume ule ubabe na ukorofi hamna tena ni kama mtu mpya ni full mahaba,mkituona kama teens anyway nimefurahi angalau mambo ya maendeleo yameanza kufanyika,naambiwa kila kitu na access ya pesa ninayo full amani na furaha,nitaendelea kuwajuza hili sakata hadi mwisho.
Wale mnao nipopoa mbona wanaume wengi tu wametulizwa sioni ajabu kwangu
Shukuru anatumia condom. Maana pale kati usipo mkumbuka mkeo huwezi vaa kondom kabisa kumlinda.
 
Ni sawa, ila baada ya mda mganga atatakaa dawa aingize ukeni kwako ili ifanye kazi, ndo utaelewa kwa shetani hakuna furaha ya kudumu, au ndugu zake watahisi na wao waende ku un do, utakuja kuteseka sana huko mbele.
 
Last seen 22/12/2024 ..

Madawa yamebumbuluka ? Mana najuaga hua Zina expire na wakat mwingine hata kabla huja renew unakamatika au unaweza pata tatizo kubwa...
 
Back
Top Bottom