Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kama anafuata kula chakula kizuri, jifunze pika vizuri hapo kwako ale,
Kama anafuata kusikilizwa jifunze kumsikiliza vizuri n.k.
Kama anafuata kusikilizwa jifunze kumsikiliza vizuri n.k.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta kujua nje kwa michepuko anafuata nini?
Kama ni utulivu mpe wewe na sio makele chungu nzima hapo nyumbani kwenu, lawama na visirani Kama vyote Mwanaume ni kama Roho Mtakatifu hakai mahala Penye makele!
Kama ni huba jifunze azipate hapo nyumbani toka kwako ataacha kwenda nje!
Kuna wanaume ni nature wanapenda chini hata kama ufanye nini,nilishafanya yote hayo
Huyu mwanaume hanywi pombe yeye shida yake ni wanawake
Alafu kwa hawa wanawake wa sasa hivi wanaodanga nisiporoga mimi wataroga wao kwaio ni bora mwenye mali nifanye hivyo
Mtu mwenyewe ni mtoaji by nature anajua kubembeleza etc hakuna mwanamke akimpata atamuacha kirahisi,sitaki hizo stress za kila siku nipambane nae kuhusu michepuko ni kheri iwe hivi
Mpnz unataka na mm unitulize ndani? Mbona nimetulia usifanye hvo aiseeConnection ya Mganga tafadhali [emoji2][emoji2]
[emoji1][emoji1][emoji1] Nataka kukazia hadi jf usiingie maana Kuna thread zinaweza kukuzindua akili.Mpnz unataka na mm unitulize ndani? Mbona nimetulia usifanye hvo aisee
Alikukuta Bikra?[emoji28][emoji28][emoji28]usinitishe sitishiki
Ndoa nyingi tu wanawake wanawatuliza wanaume
Wanaume punguzeni umalaya tufanye mambo ya maendeleo
Ndoa siikosi hii hadi kifo kitutenganishe
Kwani si wewe uliyekuwa trapped by married man. Na mkapanga kufunga ndoa ya siri.... leo hii upande wako imekuwa mchungu umeamua kuloga[emoji2][emoji2][emoji2]
Karma is Real.[emoji119]
Trapped to a married man
Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi. Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway. Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka...www.jamiiforums.com
Sema uchawi uko na expire date...
Siku akigutuka hutaweza tena kumdhibiti...so acha upendo wa asili uchukue nafasi.
Mwanaume kama kakuoa that's means anakupenda,huko nje anaonja onja tu....
Anayependwa uko ndani.
Siwezi kujisahau ntakuwa na renew time after time siwezi kusahau hilo
Ndumba huwa zinaexpire pia mganga anaweza akafa
Ukikuta kondomu inabidi umpongeze mmeo kwa sababu iyo ni ishara kwamba anajali afyaSo sad, sijawahi kuwaza kufanya hivi ila hapa nilipofika sina namna, otherwise nachanganyikiwa bure. Huu ni mwaka wa tatu wa ndoa, na miaka miwili ilikuwa ya furaha na amani hadi mwaka wa tatu ulipoanza, nimeona mapicha picha ya kila namna kutoka kwa huyu mwanaume.
Nimekonda nimechakaa kiufupi sina nuru hata biashara na kazi zangu zimeyumba sana. Miaka mitatu ya ndoa sijawahi kuchepuka hata kuwa na ukaribu na mwanaume yoyote, namuheshimu mume wangu.
Ni mwanamke ambae mwaka mmoja uliopita hata ungeniletea ushahidi mume wangu anachepuka nisingekuamini, namna nilivyokuwa na imani nae[emoji28].
Sasa kwa matukio ninayopigwa toka mwaka jana kufuma nguo za wanawake, condom na takataka nyingi kwa huyu mume amenifanya moyo kuwa mgumu, kila unapomfuma anakumbembeleza lakini baada ya week chache mambo ni yale yale.
Nimeamua sasa ni deal nae kwa namna nyingine, maana sasa nashindwa ku concentrate na mambo yangu mengine ya muhimu.
Ni kweli hakuna mwanaume asiechepuka nimekubali, Ila kuna wanawake hatuwezi kuvumilia huu ujinga bora awe ndondocha kuliko haya maumivu.
Nimempiga makombora matatu makali, moja kafungwa kwenye chupa hatakuwa na kauli kwa lolote kuanzia sasa, ataona wanawake wengine ila ataniwaza mimi tu na hatosimamisha kwa mwanamke mwingine.
Nampenda sana mume wangu ila tabia zake zimetufikisha hapa. Wanaume kuweni makini, nyie ndio mnatubadili tabia zetu kwa matendo yenu.
Haya wale wa mapovu mje mnipopoe, ila for once toka mwaka uanze nimepata amani ajabu, kuanzia sasa mume ni wangu peke angu.
UPDATE 1
Imetimia mwezi na week mbili toka zoezi langu,nyumba ina amani sana,yani mwanaume ule ubabe na ukorofi hamna tena ni kama mtu mpya ni full mahaba,mkituona kama teens anyway nimefurahi angalau mambo ya maendeleo yameanza kufanyika,naambiwa kila kitu na access ya pesa ninayo full amani na furaha,nitaendelea kuwajuza hili sakata hadi mwisho.
Wale mnao nipopoa mbona wanaume wengi tu wametulizwa sioni ajabu kwangu